Thursday, September 20, 2018

Featured

Home Featured
Featured posts

CHEKI KOCHA MPYA WA SIMBA ALIVYOSHUHUDIA TIMU YAKE IKIKALISHWA NA MTIBWA-ZANZIBAR

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja ameishuhudia timu yake mpya ikigaragazwa na Mtibwa Sugar na kuvurumishwa nje ya mashindano ya kombe la Mapinduzi kufuatia...

IT’S A DONE DEAL

Muda mfupi baada ya taarifa kuzagaa kwamba boss wa Spurs Mauricio Pochettino huenda akachukua kibarua cha ukocha kwenye klabu ya Manchester United, tarari kuna...

Takwimu : Luis Van Gaal ndiye kocha mbovu wa Manchester United tangu miaka 35...

Mechi ya jana usiku imemchafua kocha LVG kwenye historia yake ya kufundisha mashetani wekundu. Kwa muda wa miaka 35 club ya Manchester haijawahi kuwa...

SAMATTA AONESHA THAMANI YA NAMBA 77 (Video)

Mbwana Samatta ameendelea kufanya vyema akiwa na klabu ya Genk baada ya kutupia kambani bao moja wakati timu yake ikiiua Oostende kwa magoli 4-0. Samatta...

VAN PLUIJM AMLILIA JOHAN CRUYFF

Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amemzungumzia gwiji wa soka wa Uholanzi na Barcelona Johah Cruyff kuwa ni mtu wa pekee kuwahi...

‘PANGA-PANGUA’ YAPITA YANGA, DR. TIBOROHA APATA MRITHI

Uongozi wa klabu ya Yanga umefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi kwenye klabu hiyo mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga kubwaga manyanga. Mwenyekiti...

WAKATI UMEFIKA SASA SIMBA KUKUBALI OFA YA ‘MO’

Na Jeff Gemo Mnyama Machine, The One Man Army, Affirmative Gemo The Great Simba Sports Club hii ndio timu kongwe yenye mafanikio makubwa zaidi kimataifa...

SAMATTA: NILIHISI NAKUWA ‘CHIZI’ KWA FURAHA BAADA YA DILI LA KUHAMIA GENK KUKAMILIKA

Mara baada ya Mbwana Samatta kukamilisha taratibu zote za kujiunga na klabu ya Genk, nyota huyo wa kwanza kutoka Bongo katika kizazi cha leo...

PICHA: ‘VIJIMAMBO’ BAADA YA LEICESTER KUSHINDA TAJI LA PREMIER LEAGUE

Unaweza ukasema usiku wa Jumatatu umekuwa mzuri sana kwa wachezaji na mashabiki wa Leicester, ni baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Premier League...

VIDEO: MASHABIKI WA LIVERPOOL WAGOMA NA KUTOKA NJE YA UWANJA, TIMU YAO YABANWA UNFIELD

Juma lililopita klabu ya Liverpool ilitangaza bei mpya ya ticket kwa ajili ya msimu ujao na mashabiki wa timu hiyo wameamua kupinga hatua hiyo...

STORY KUBWA