Featured

Home Featured Page 3
Featured posts

KUTANA NA VIDEO NA PICHA ZA KING KIBA AKISIKITIKA BAADA YA YANGA KUTUPWA NJE...

Klabu ya Yanga imemsikitisha Star wa Bongo Flavor ‘King Kiba’ baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi kwenye mchezo wa nusu fainali...

MBWANA SAMATTA ATUA UBELGIJI KUKAMILISHA USAJILI

Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinasema kwamba, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR Mbwana Samatta muda...

UNATAKA KUJUA KAMA OKWI ANAREJEA SIMBA AU LA? SIMBA IMEWEKA WAZI JAMBO HILO

Ndani ya siku mbili hizi imekuwa ikitajwa kuwa mchezaji nguli wa kimataifa wa Uganda ambaye aliwahi kutamba na klabu ya Simba SC Emanuel Okwi...

Hizi ni picha 5 za mtoto wa Mbwana Samata “Kareem Sama Goals”

Leo ni birthday ya mtoto wa Mbwana Samatta na mashabiki zake wengi wanaona picha ya mtoto huyu kwa mara ya kwanza. Hizi hapa ni...

Rekodi 20 za Champions League Ambazo Messi na Ronaldo bado hawajazivunja

Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wamekuwa na ushindani mkubwa ambao umepelekea wawili hao kujitengenezea nafasi katika listi ya...

PICHA: ULIPITWA NA BIRTHDAY PARTY YA MSUVA?, ANGALIA PICHA UONE ILIVYOBAMBA…

Ulipitwa na Birthday Party ya Simon Msuva? kama ilikupita basi mtandao huu unakupa fursa ya kushuhudia matukio yote yaliyojiri kwenye party hiyo iliyofanyika usiku...

SAFARI YA DAUDA KUTOKA FIFA HADI GENK KWA SAMATTA (PART II)

Safari ya Dauda kutoka FIFA hadi Genk kwa Samatta inaendelea, Part I iliishia pale tayari tumeshafika nyumbani kwa Samatta na tumemlipa dereva tax euro 15,...

SIMBA, AZAM, ZAIFADISHA YANGA

Matokeo ya sare kati ya Simba dhidi ya Azam yanaifaidisha Yanga ambayo imeendelea kukaa kileleni mwa ligi bila presha kubwa kutoka kwa Simba na...

YANGA YASONGA MBELE KLABU BINGWA AFRIKA, SASA KUKUTANA NA TIMU YA ZAMANI YA NIYONZIMA

Yanga imefanikiwa kuiondosha timun ya Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya bao 3-0 baada ya leo kuichapa kwa bao 2-0 kwenye mchezo...

KUTUA KWA MOURINHO NDANI YA MAN UTD NI PIGO KWA BAADHI YA WACHEZAJI

Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United pale msimu wa majira ya joto utakapowadia, baada ya kukaa nje ya soka kwa...

Unajua uwanja wa Arsenal “Highbury” ulivyo sasa hivi?

Mwaka 2006 club ya Arsenal ihamia kwenye uwanja wake mpya The Emirates Stadium ambao una uwezo wa kubeba watazamaji 60,000. Baada ya kuhama kutoka kwenye...

Marcus Rashford: Shujaa Mpya Old Trafford Aliyevunja Rekodi ya George Best

Marcus Rashford alikuwa shujaa ambaye hakutabiriwa usiku wa Alhamisi dhidi ya FC Midtjylland, akifunga magoli mawili katika mechi yake ya kwanza ya kikosi cha...

Divock Origi wa Liverpool Awazungumzia Alikiba na Diamond – Amtaja anayemkubali kati yao

Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi...

SIMBA YAITUNGUA MBEYA CITY KWA MARA YA KWANZA TAIFA NA KUREJEA KILELENI MWA VPL

Ushindi wa magoli 2-0 iliyoupata leo timu ya Simba SC dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa taifa ni ushindi wa kwanza wa 'Wekundu...

TETESI: MOURINHO AKARIBIA KUWA MENEJA WA MANCHESTER UNITED

Kuna taarifa zilizozagaa leo katika vyombo vya habari barani Ulaya kuwa kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho anakaribia kukubali na kusaini mkataba wa...

PICHA: SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU NA TOTO MWANZA

December 19 timu ya Simba SC ikuwa ikipambana na timu ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara...

MAMBO 5 YANAYOTARAJIWA MANCHESTER CITY CHINI YA UTAWALA WA GUARDIOLA 

Uhamisho wa Guardiola kuelekea Manchester City ilikuwa ni moja kati ya siri kubwa huku akihusishwa kujiunga Manchester united lakini sasa imekuwa wazi kuwa atajiunga Manchester City...

Listi ya vilabu tajiri duniani, Madrid, Barca zaongoza, Man Utd yaongoza kwa kuingiza faida...

Mapato makubwa ya fedha zinazotokana na mauzo ya haki za matangazo ya TV , mauzo jezi na mapato ya udhamini wa jezi, wadhamini na...

FIFA kufanya mabadiliko ya adhabu za faulo, kadi nyekundu na substutions kuruhusu wachezaji wanne

Siku chache baada ya uchaguzi wa kumchagua Raisi wa shirikisho la soka duniani FIFA kumalizika na muitaliano Gianni Infantino kushinda - leo imetoka taarifa...

SALIM MBONDE: KWA SASA NIPO HURU KUFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YOYOTE

Na Baraka Mbolembole Siku 50 kuelekea kikomo cha mkataba wake na klabu ya Mtibwa Sugar, mlinzi wa kati na nahodha wa timu hiyo bingwa mara...
471,128FansLike
1,416,588FollowersFollow
65,781FollowersFollow

Instagram