Thursday, September 20, 2018

Featured

Home Featured
Featured posts

Buffon atundika daluga

Nahodha wa klabu ya Juventus, Giunluigi Buffon, ametangaza rasmi kuwa ataachana na soka mwisho wa msimu huu. kipa huyo aliyedumu na klabu hiyo kwa...

Divock Origi wa Liverpool Awazungumzia Alikiba na Diamond – Amtaja anayemkubali kati yao

Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi...

HII NDIYO SABABU ILIYOMFANYA TAMBWE KU-DEDICATE HAT-TRICK KWA MTOTO WAKE

Mshambuliaji wa Yanga mrundi Amisi Tambwe jana alifanikiwa kufunga magoli matatu (hat-trick) kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati Yanga ikicheza...

UKIMPINGA CURRY UMEUPINGA UKWELI. WARRIORS WANAPITA HATA JUU YA MOTO, WAENDELEA KUWEKA REKODI KALI.

Hesabu kwa vidole vya kiganja chako ni mara ngapi mchezaji kafunga pointi 40 msimu huu katika zaidi ya mara nne. Tizama pia mchezaji yupi...

Takwimu Hii Inaonyesha Van Gaal Anastahili Kuondoka Man United.

Manchester United ipo kwenye anguko, staili ya soka lao haivutii na pia timu haipati matokeo mazuri pamoja na uwezekazeji mkubwa uliofanyika. Takwimu zilizotolewa leo zinaonyesha...

GENK YATHIBITISHA KUMNASA MBWANA SAMATTA, HII NDIYO RIPOTI YAO NA UKOMO WA MKATABA

Aly Mbwana Samatta hatimaye hatua kunako katika klabu  ya  Genk. Katika dakika ya mwisho KRC Genk hatimaye imemnasa  mshambuliaji iliyotumia muda na maarifa kuinasa saini...

BOCCO AMEZALIWA KUZIFUNGA YANGA/SIMBA, NI MSHAMBULIZI MKALI ZAIDI AMBAYE HAJATOKEA

Na Baraka Mbolembole Mechi yake ya kwanza tu kukutana na Yanga SC alifunga bao, na kufikia mechi ya 16 ya ligi kuu Azam FC dhidi...

Amri Kiemba aipa ubingwa wa ligi kuu Tanzania timu hii

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikitarajia kuanza Jumatano hii baada ya pazia lake kufunguliwa rasmi siku ya Jumamosi iliyopita kwa mchezo wa Ngao ya...

Staa wa FC Barcelona ahukumiwa kwenda Jela Mwaka 1 kwa ukwepaji Kodi

Klabu ya FC Barcelona imekuwa na historia ya kuhusishwa na ukwepaji kodi mbalimbali kupitia wachezaji wake maarufu, akiwemo Lionel Messi, Neymar na Javier Mascherano,...

ULIMWENGU HAKUWA MBALI, HII NDIYO KAULI YAKE KUHUSU TUZO YA SAMATTA

Thomas Ulimwengu ‘Drogba wa Dodoma’ amejikuta akishindwa kutoa neno kwa pacha wake Mbwana Samatta, kutokana na furaha aliyokuwa nayo baada ya Samatta kunyakua tuzo...

STORY KUBWA