Featured

Home Featured
Featured posts

Eneo gani uwanjani litaamua mechi ya watani wa jadi?

Shaffih Dauda Naiona mechi ikiamuliwa katikati ya uwanja (eneo la midfield) Simba ni timu inayicheza mpira kuanzia nyuma wanapiga pasi na kutawala eneo la katikati. Changamoto...

Geoff Lea anaiangalia Yanga kwa jicho la tatu

Ni vigumu sana kwa mtu anayeangalia mpira na kuufuatilia halafu haendeshwi na hisia anaweza kuipa kuipa nafasi kubwa Yanga kushinda mechi dhidi ya Simba...

Yanga inaingia kama UNDERDOG

Ukiangalia Simba kwa upande wa squad, mwendelezo wa matokeo lakini pia mazingira kuelekea kwenye mechi Simba wametoka kwenye mazingira ambayo inawezekana ikawa ni faida...

#YangaVsSimba ni vita ya NIKKI WAPILI VS JOH MAKINI

Mechi ya watani wa jadi #YangaVsSimba huwa inaigawa familia ya wasanii wanaounda kundi la #Weusi Joh Makini na Nikki Wapili. Joh Makini amefata upande wa...

Stamina anakwambia Simba wanakula 5

Kumbe mkali wa BongoFleva Stamina ni Yanga wa kulialia lakini wakati anacheza soka aliwahi kucheza na Mkude na Kichuya ambao baadaye walijiunga na Simba. Stamina...

“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za...

Ulinzi Yanga Morogoro usipime!

Unaambiwa ulinzi wa Yanga huko Morogoro si wa mchezomchezo, hakuna watu wanaoruhusiwa kusogea mazoezini pamoja na kambini. Mechi ya Simba na Yanga inamambo mengi, kwa...

Eto’o agoma kustaafu soka

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto'o amenukuliwa na mtandao wa BBC akisema, ataendelea kucheza na hana wazo la kustaafu...

“Wao ndo wenye presha, sio sisi”-Zahera Mwiyi

Kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga vs Simba Jumamosi ijayo February 16, 2019, kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema timu yake inaendelea na...

Simba ilistahili ushindi vs Al Ahly

Mchezo wa Simba vs Ahly ulifatiliwa karibu na wapenda soka wa bara zima la Afrika kutokana na ukubwa wa Al Ahly. Unapoitaja Ahly ni...

Tunda aitaka Yanga “Zile 5 tulizopigwa na mwarabu tunalipa kwao”

Shabiki kindakindaki wa Simba msanii wa Bongo Fleva TundaMan wakati akifurahia wa 1-0 ilioupata Simba dhidi ya Al Ahly kwenye ligi ya mabingwa Afrika...

Kocha wa zaamani Yanga akubali mziki wa Simba, apagawa na Mkude

Kocha wa zamani wa Yanga Kenny Mwaisabula 'Mzazi'baada ya Simba kuifunga Al Ahly uwanja wa taifa, ameshangaa ilikuwaje Simba ikafungwa 5-0 na waarabu hao...

Simba yajipigia tu waarabu taifa

Simba imeibuka na pointi tatu kwa mara nyingine dhidi ya waarabu uwanja wa taifa kwenye michuano ya Caf Champions League hatua ya makundi. Waarabu wa...

“Mimi Yanga nitaishangilia Simba”-Mwigulu Nchemba

Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba anafahamika kwa ushabiki wake kwa mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara YOUNG AFRICANS. Licha ya ushabiki...

Simba, Al Ahly, zaigawa Sports Xtra

Kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM kiligawanyika jana usiku wakati wachambuzi wakijadili ni mbinu gani hasa ambayo kocha wa Simba anapaswa kuingia nayo...

Uchambuzi wa Shaffih Dauda Simba vs Al Ahly

Kuelekea mchezo wa Caf Champions League hatua ya makundi Simba vs Al Ahly, watu wengi wamekuwa wakiamini Simba ina nafasi ya kushinda mchezo huo...

KIOJA LIGI KUU! Mchezaji apoteza fahamu uwanjani hakuna AMBULANCE

Bado hali ya usalama viwanjani inaonekana si shwari au hauzingatiwi, inawezekana wakati huu tungekuwa tunaongea habari nyingine baada ya kukosekana kwa gari maalum la...

Historia fupi ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga ni moja ya vilabu vikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ina mafanikio nje na ndani ya Tanzania. Siku...

Rabbin Sanga alivyopokelewa Serengeti Boys

Kijana wetu Rabbin Sanga alivyorejea Bongo na kujiunga moja kwa moja timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 'Serengeti Boys'. Sanga ametoka Uturuki...

Wambura ashikiliwa TAKUKURU

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). "Ni kweli yupo tumemshikilia hapa TAKUKURU Dar...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow