Entertainment

Home Entertainment Page 4

MAMBO MAPYA 2015, WATANZANIA WANASEMAJE?

Wiki iliyopita niliweka hapa habari kuhusu simu mpya za Huawei aina ya Huawei Y360. Kama ulikosa habari ile, kwa kifupi ni kuwa makampuni makubwa...

HUAWEI Y360, KIKI INAYOPEWA INAFANANA NA UBORA WA SIMU HUSIKA?

Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli...

FAIDA ANAZOPATA CRISTIANO RONALDO NA UFALME WA SOCIAL MEDIA

Labda kazi ambayo Ronaldo hatumii nguvu sana bali akili yake na team yake ya management ni kwenye platform zake za mitandao ya kijamii. Hivi...

IJUE VIZURI SIMU YA HUAWEI P8 KABLA HAUJAINUNUA

Jana kwenye hoteli ya Hyatt Regency kampuni ya Huawei inayouza na kuzalisha “simu zenye akili”a.k.a SmartPhone ilizindua toleo jipya la simu zake kwenye P...

KUMBE MCHEZAJI HUYU WA EPL NI DJ BAABKUBWA…

Zaidi ya kuwa na kipaji kimoja mtu anaweza kuwa na kipaji kingine au passion na kitu kingine tofauti na kile kinachompatia pesa kila siku. Swala...

AY AFUNGUKA TUZO ZA BET 2015

Baada ya msanii kutoka Nigeria, Wizkid na msanii wa Ghana Fuse ODG, kulalamikia tuzo za kituo cha TV cha Marekani BET kuwatenga wasanii wa...

MWANASOKA ALI KIBA AMETULETEA VIDEO MPYA – CHEKECHA CHEKETUA

Tukizungumzia soka Ali Kiba ni mchezaji mzuri sana na anatumia muda wake wa ziada kucheza soka. Lakini kila mtu anajua kazi yake ya kwanza...

NA HUYU NI MSANII MWINGINE WA BONGOMOVIE ANAETANGAZA NIA LEO

Baada ya Wema Sepetu ku-trend sana baada ya kutangaza nia hivi sasa tunaona kuongezeka kwa wasanii wengine wa bongomovie wakitangaza nia ya kutaka kugombea...

HIZI NI COMMENT ZA AIBU KUTOKA KWA WATANZANIA KWENYE POST YA DAVIDO

Ukitaka kujua kuna watu hawana kazi ya kufanya utaangalia tofauti ya comment za kwenye post ya Davido kwenye instagram. Kawaida huwa anapata comment 100...

Ally Kiba, Vanesa Mdee, Jacqueline Mengi kuongoza mapambano dhidi ya ujangili

Na Bertha Lumala SERIKALI kwa kushirikiana na asasi za kimataifa WildAid na African Wildlife Foundation, viongozi wa dini, wasanii na wanamichezo nchini imezindua kampeni mpya...

WEMA SEPETU ANATARAJIA KUWA MBUNGE KUPITIA CCM

Muigizaji maarufu Wema Sepetu ambae amekaa kwenye umaarufu kwa muda wa miaka mingi. Hivi sasa anatarajiwa kuingia kwenye njia mpya ya maisha yake. Ripoti zilizonifikia...

MSANII BEN POL ANUSULIKA KUPOTEZA MAISHA BAHARINI

Sio Ben Pol peke Yake bali kulikua na watu wengine ambao alikua nao kwenye boti moja walitokea kisiwani. Kwa mujibu wa story aliyotoa Ben Pol...

YA MOTO BAND WANAFANYA VIDEO NA LAMBORGHINI…CHEKI BEHIND THE SCENE

Ya Moto kikundi cha muziki wa bongoflava wanafanya kitu kipya kwenye maisha yao ya muziki. Hivi sasa wapo South Africa wana shoot video kubwa...

WAJUE WATU MAARUFU DUNIANI WANAOSHABIKIA BARCELONA NA JUVENTUS

Fid Q na A.Y ni mashabiki wa wazi kabisa wa Barcelona, kwa pamoja wanaungana na watu wenzao wengi maarufu kwenye timu hiyo. Lakini kuelekea...

DSTV INAENDELEA KUONGEZA MAMBO MAZURI…IJUE NA HII MPYA

Channel ya Maisha Magic kuanzia June 1st itabadilisha jina kutoka Maisha Magic Swahili  hadi kuwa Maisha Magic East. Channel hii namba 158 ni sehemu...

Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali yaahidi Neema

SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo...

Mbeya City wajipongeza kumaliza nafasi ya 4

Na Yahaya Mohamedy… Baada ya kufanikiwa kumaliza katika nafasi ya 4 katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom 2014/2015 iliyomalizaka jana, timu ya Mbeya City...

LIST MPYA : HAWA NDIO WASANII WA HIP HOP 5 WENYE PESA NYINGI DUNIANI...

It's all about the Benjamiz na bado wanaendelea kuzitaguta hawa jamaa watano. Wana nguvu sana kwenye muziki wa Hiphop na wametajwa na forbes.com kwamba...

UNAWAJUA WATU MAARUFU WALIO-BET KWENYE PAMBANO YA MAYPAC

Floyd Mayweather ndie mtu aliyepata pesa nyingi baada ya pambano lakini sio mtu pakee aliyepata pesa baada ya pambano hilo kuisha. Najua hata mtaani...

HIZI NI PICHA ZA MASTAA WALIOLIPA PESA NYINGI KUANGALIA PAMBANO YA MAYPAC…MICHAEL JORDAN, JAY...

Pambano la Manny VS Mayweather limesababisha mastaa wakubwa kusafiri hadi Las Vega kuangalia fight hiyo. Karibia wote walikaa kwenye viti vya bei ya juu,...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow