Monday, September 24, 2018

Entertainment

Home Entertainment

BASATA yamkabidhi Bendera Mshindi wa Airtel Trace Music,

Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music...

JE, WEWE NI MPENZI WA WWE?? UJUE UTATA WA JOHN CENA KWA MPENZIWE

Kwa kila mfuatiliaji ama hata yule ambaye sio mfuatiliaji sana wa mieleka maarufu kama WWE (World Wrestling Entertainment) atakua anamfahamu Super Star John Cena....

Hili ndio gari jipya la Diamond Platnumz ??

Katika interview mbili nimewahi kumsikia Diamond Platnumz akitoa msemo mmoja unaofanana lakini katika hizo interview mbili tofauti, akitabasamu alisema ‘kama nafanya kazi kwa bidii...

VIDEO: MWILI WA PAPA WEMBA WAWASILI DR CONGO

Jana mwili wa nguli wa musiki wa rumba Papa Wemba uliwasili nchini kwao Congo DR na haya ndiyo yaliyokuwa mapokezi yake. https://youtu.be/YTG_D14utK0

PICHA 23: KILIVYO-HAPPEN KWENYE MEI MOSI SPORTS EXTRA BONANZA

Sports Extra Bonanza lilifanyika jana kwenye uwanja wa TCC Chang’ombe katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani (May day) ambapo mashirika na taasisi mbalimbali wao...

Neymar na deal zake za fashion 2015..

Mastaa wengi wa soka kama Cristian Ronaldo, David Beckham wamekuwa wakipata dili la kufanya shughuli za fashion, hii imewasadia pia kukuza uzito wa mkwanja...

Maneno ya JB baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Msanii maarufu wa Bongo Movies Jacob Steven 'JB' amesema Simba kuifunga Yanga si jambo la ajabu na itaendelea kufungwa kila itakapokutana na mnyama. JB ambaye...

HUAWEI Y360, KIKI INAYOPEWA INAFANANA NA UBORA WA SIMU HUSIKA?

Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli...

Mike Tyson kwenye collabo ya wimbo na Madonna, hakujua aliitiwa nini studio!

Dunia ina mengi ya kuyakumbuka kuhusu bondia Mike Gerard Tyson, kuna ile rekodi ya kushinda mapambano mengi, makubwa lakini umri wake ulikuwa mdogo tu! Aliweza...

Mkataba wa tangazo na CR7 umevuja..hizi ndizo pesa alizolipwa kwa kazi hii.

Mkataba wa kazi huwa ni siri kubwa kati ya pande mbili ambazo zinafanya kazi pamoja. Sasa kuna mkataba umevuja ambao unamhusu Cristiano Ronaldo na...

STORY KUBWA