Entertainment

Home Entertainment Page 3

Wayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake Mpya

Wanandoa Coleen na Wayne Rooney wametangaza kupata mtoto wao wa 3 leo jumapili.     Rooney na Coleen kwa pamoja walitumia akaunti zao za mtandao wa Twitter...

Baada ya Mtoto wa Jorge Mendes – Ronaldo sasa Ahusishwa kutoka na Mdogo wake...

Takribani mwaka mmoja tangu kuachana na girlfriend wake, mwanamitindo wa kirusi Irina Shayk - Cristiano Ronaldo ameendelea kuhusishwa na mahusiano na wasichana mbalimbali duniani.   Baada...

Hizi ni picha 5 za mtoto wa Mbwana Samata “Kareem Sama Goals”

Leo ni birthday ya mtoto wa Mbwana Samatta na mashabiki zake wengi wanaona picha ya mtoto huyu kwa mara ya kwanza. Hizi hapa ni...

Mesut Ozil amesema kama angekua msanii wa Hiphop angefanya collabo na huyu.

Mesut Ozil kama wachezaji wengine anapenda kusikiliza muziki kabla na baada ya mechi. Sasa akiwa kwenye moja ya interview alizungumzia kuhusu ishu ya yeye...

Cristiano Ronaldo ameuza kwenye cover GQ Magazine body issue.

Cristiano Ronaldo ameuza kwenye cover la magazine mpya maarufu ya GQ Body Issue. Ronaldo amekaa kwenye cover hiyo na model maarufu Alessandra ambae na...

DAUDA TV: NIYONZIMA ‘AMWAGA VIUNO’ KWENYE SHOW YA ALI KIBA

Asikwambie mtu burudani ni kitu muhimu sana katika maisha kila mtu japo kila mmoja ana kitu chake binafsi ambacho humburudisha baada ya kuwa busy...

JE, WEWE NI MPENZI WA WWE?? UJUE UTATA WA JOHN CENA KWA MPENZIWE

Kwa kila mfuatiliaji ama hata yule ambaye sio mfuatiliaji sana wa mieleka maarufu kama WWE (World Wrestling Entertainment) atakua anamfahamu Super Star John Cena....

RAPPER YOUNG KILLER AMTAJA MSHINDI WAKE WA BALLON D’OR…AKILI KUWA SHABIKI WA MCHEZAJI HUYU.

Hivi sasa moja ya topic kubwa ni kuhusu tuzo ya Ballon D'or na kila mtu anajaribu kutoa sababu zake kuhusu nani atakua mshindi wa...

AIRTEL TANZANIA YAPIGA ‘TAFU’ TASWA SC

Kampuni ya Airtel Tanzania imeiipiga ‘tafu’ timu ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini, TASWA  SC kwa kuwapatia vifaa vya...

TIMU YA TAIFA YA CZECH YATUNGA WIMBO MAALUM WA MICHUANO YA SOKA YA ...

Baada ya kufanikiwa kufuzu katika michuano ya soka ya Ulaya itakayofanyika nchini Ufaransa mwakani,kikosi cha timu ya taifa ya Jamhuri ya watu wa Czech...

MTAZAME DIDIER DROGBA NA WENZAKE WAKICHEZA ‘SELFIE’ YA KOFFI OLOMIDE

Hakuna shaka kuwa nyimbo ya 'Selfie' iliyoimbwa na mwananamuziki mkongwe barani Afrika toka nchini DRC Congo Koffi Olomide inazidi kuwa maarufu kila kukicha na...

Demu wa Chris Brown Aonekana tena na Depay Jijini Manchester (Picha)

Siku mbili baada ya kufunga goli lake la kwanza katika Barclays Premier League, winga wa Manchester United Memphis Depay aliamua kujipongeza kwa kwenda kufanya...

MAMBO MAPYA 2015, WATANZANIA WANASEMAJE?

Wiki iliyopita niliweka hapa habari kuhusu simu mpya za Huawei aina ya Huawei Y360. Kama ulikosa habari ile, kwa kifupi ni kuwa makampuni makubwa...

HUAWEI Y360, KIKI INAYOPEWA INAFANANA NA UBORA WA SIMU HUSIKA?

Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli...

FAIDA ANAZOPATA CRISTIANO RONALDO NA UFALME WA SOCIAL MEDIA

Labda kazi ambayo Ronaldo hatumii nguvu sana bali akili yake na team yake ya management ni kwenye platform zake za mitandao ya kijamii. Hivi...

IJUE VIZURI SIMU YA HUAWEI P8 KABLA HAUJAINUNUA

Jana kwenye hoteli ya Hyatt Regency kampuni ya Huawei inayouza na kuzalisha “simu zenye akili”a.k.a SmartPhone ilizindua toleo jipya la simu zake kwenye P...

KUMBE MCHEZAJI HUYU WA EPL NI DJ BAABKUBWA…

Zaidi ya kuwa na kipaji kimoja mtu anaweza kuwa na kipaji kingine au passion na kitu kingine tofauti na kile kinachompatia pesa kila siku. Swala...

AY AFUNGUKA TUZO ZA BET 2015

Baada ya msanii kutoka Nigeria, Wizkid na msanii wa Ghana Fuse ODG, kulalamikia tuzo za kituo cha TV cha Marekani BET kuwatenga wasanii wa...

MWANASOKA ALI KIBA AMETULETEA VIDEO MPYA – CHEKECHA CHEKETUA

Tukizungumzia soka Ali Kiba ni mchezaji mzuri sana na anatumia muda wake wa ziada kucheza soka. Lakini kila mtu anajua kazi yake ya kwanza...

NA HUYU NI MSANII MWINGINE WA BONGOMOVIE ANAETANGAZA NIA LEO

Baada ya Wema Sepetu ku-trend sana baada ya kutangaza nia hivi sasa tunaona kuongezeka kwa wasanii wengine wa bongomovie wakitangaza nia ya kutaka kugombea...
472,538FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,400FollowersFollow