Sunday, September 23, 2018

Entertainment

Home Entertainment

Ali Kiba Anasemaje kuhusu kufanya kolabo na wasanii wa Afrika?

Kuna time utakuwa unajiuliza maswali kuwa kuna umuhimu gani kwa  wasanii wa hapa Tanzania kufanya kolabo na mastaa wa Afrika . Sasa staa wa Bongo...

HABARI NJEMA KWA VIJANA: AZAM TV IMEWASOGEZEA FURSA MIKONONI MWENU

Habari njema kwenye tasnia ya filamu Bongo ni uzinduzi wa mradi wa kusaka vipaji vya waigizaji pamoja na ma-camera person, mradi huo unakwenda kwa...

Picha 7 za Himid Mao akiwa na mke wake kwenye mtoko

Kama ulikua hujui ni kwamba mchezaji Himid Mao ana mke wa ndoa kabisa anaitwa Hanna Hafid. Himid Mao amenipa story exclusive kwamba amefunga ndoa...

VIDEO: LIVERPOOL vs VILLARREAL, ALI KIBA AELEZEA MAPUNGUFU YA LIVERPOOL

Katika mishemishe za town, www.shaffihdauda.com imekutana na mkali wa muziki wa Bongo Flavor Ali Kiba ambaye ni shabaki wa kutupwa wa Liverpool ya nchini...
video

AMBER ROSE NDANI YA PARTY YA MIAKA 10 YA D’BANJ

‘Koko Master’, D’Banj mtu mkubwa kwenye muziki anayeiwakilisha Nigeria na Afrika kwenye ramani ya dunia hakika anajivunia mengi kwenye safari yake, mafanikio ya kufanya kazi na...

PICHA YA BIG BROTHER AKIWASILI JNIA LEO

Mshindi wa Sh. milioni 522 za Shindano la Big Brother Afrika (BBA), Idris amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar...

Cannavaro afunguka nani anamkubali kati ya Diamond na Ali Kiba

Na. Richard Bakana, Dar es salaam Nahodha wa klabu ya Yanga SC pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ametoboa siri ya...

Wayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake Mpya

Wanandoa Coleen na Wayne Rooney wametangaza kupata mtoto wao wa 3 leo jumapili.     Rooney na Coleen kwa pamoja walitumia akaunti zao za mtandao wa Twitter...

IJUE VIZURI SIMU YA HUAWEI P8 KABLA HAUJAINUNUA

Jana kwenye hoteli ya Hyatt Regency kampuni ya Huawei inayouza na kuzalisha “simu zenye akili”a.k.a SmartPhone ilizindua toleo jipya la simu zake kwenye P...

Movie yaandaliwa kuzungumzia uhusiano wa Obama na Michelle

Hii imekuwa ni dili kumbe? Tena ya pesa ya kutosha iwapo unaifanikisha. Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu...

STORY KUBWA