Entertainment

Home Entertainment Page 2

IKIWA LEO NI BIRTHDAY YAKE, NDEMLA YEYE HANA HATA MPANGO…

Kuadhimisha siku ya kuzaliwa 'birthday' ni jambo muhimu sana kwa kila mtu, mara nyingi sana tumeona watu wakisherekea umbukumbu za siku zao za kuzaliwa. Weki...

HAWA NDIO WASANII WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO ZA KTMA 2015

Baada ya mchakato wa muda mrefu kupokea maoni ya wapenzi na wadau wa muziki ili kutengeneza vipengele vya tuzo za mwaka huu, hatimae listi...

COMMENT ya Samatta baada jina lake kutajwa kwenye wimbo wa Darasa na Mavoco

Baa ya jina lake kutajwa kwenye nyimbo za wasanii wa Bongo Flavor, mshambuliaji wa kibongo anayecheza soka la kulipwa nchini Ubelgiji amesema kwake ni...

Demu wa Chris Brown Aonekana tena na Depay Jijini Manchester (Picha)

Siku mbili baada ya kufunga goli lake la kwanza katika Barclays Premier League, winga wa Manchester United Memphis Depay aliamua kujipongeza kwa kwenda kufanya...

JE, WEWE NI MPENZI WA WWE?? UJUE UTATA WA JOHN CENA KWA MPENZIWE

Kwa kila mfuatiliaji ama hata yule ambaye sio mfuatiliaji sana wa mieleka maarufu kama WWE (World Wrestling Entertainment) atakua anamfahamu Super Star John Cena....

Maneno ya JB baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Msanii maarufu wa Bongo Movies Jacob Steven 'JB' amesema Simba kuifunga Yanga si jambo la ajabu na itaendelea kufungwa kila itakapokutana na mnyama. JB ambaye...

Majibu ya Ommy Dimpoz kuhusiana na picha zilizoenea akiwa na Ex wa Diamond Platnumz

  Miongoni mwa stori zilizochukua headline mitandaoni hata kwenye magazeti ni kuhusu picha ya hitmaker wa ‘Ndangushima’ Ommy Dimpoz akiwa na ex wa Diamond Platnumz...

Ali Kiba Anasemaje kuhusu kufanya kolabo na wasanii wa Afrika?

Kuna time utakuwa unajiuliza maswali kuwa kuna umuhimu gani kwa  wasanii wa hapa Tanzania kufanya kolabo na mastaa wa Afrika . Sasa staa wa Bongo...

MWANASOKA ALI KIBA AMETULETEA VIDEO MPYA – CHEKECHA CHEKETUA

Tukizungumzia soka Ali Kiba ni mchezaji mzuri sana na anatumia muda wake wa ziada kucheza soka. Lakini kila mtu anajua kazi yake ya kwanza...

POLISI WATOA MAELEZO YA AWALI KIFO CHA AISHA MADINDA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta na baadaye Extra Bongo, Aisha Mohamed Mbegu...

Hizi ni picha za uwanja mpya wa Barcelona utakao ingiza fans 105,000.

Barcelona inasababisha mashabiki kusafiri kutoka nchi mbalimbali kwenda Nou Camp kuangalia mechi za nyumbani za club hiyo. Sasa hivi wamewekeza kiasi cha £465 million...

Cannavaro afunguka nani anamkubali kati ya Diamond na Ali Kiba

Na. Richard Bakana, Dar es salaam Nahodha wa klabu ya Yanga SC pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ametoboa siri ya...

Ronaldo na Messi kwenye vita ya ununuzi wa Ferrari Ghali Zaidi! Mmoja atajwa kushinda 

Wanasoka bora zaidi katika kizazi hiki cha soka cha sasa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wametajwa kuingia kwenye ushindani mwingine usiokuwa rasmi wa kuinunua...

Neymar na deal zake za fashion 2015..

Mastaa wengi wa soka kama Cristian Ronaldo, David Beckham wamekuwa wakipata dili la kufanya shughuli za fashion, hii imewasadia pia kukuza uzito wa mkwanja...

DIAMOND PLATNUMZ NA NYOTA WENGINE WA MUZIKI AFRIKA KUTUMBUIZA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA

WAANDAAJI wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika “Glo-CAF Awards” wamethitisha kuwa wanamuziki nyota wa Afrika watatumbuiza siku hiyo.  Tuzo hizo zitafanyika januari 15 mwaka...

ALLI KIBA AWATAJA WASANII AMBAO AMEWA INSPIRE KATIKA MUSIC

Star huyo wa music wa kizazi kipya pia ni footballer Alli Kiba awataja wasanii wa kibongo alio wa inspire katika music huu wa kizazi...

HIZI NI PICHA ZA MASTAA WALIOLIPA PESA NYINGI KUANGALIA PAMBANO YA MAYPAC…MICHAEL JORDAN, JAY...

Pambano la Manny VS Mayweather limesababisha mastaa wakubwa kusafiri hadi Las Vega kuangalia fight hiyo. Karibia wote walikaa kwenye viti vya bei ya juu,...

Picha 7 za Himid Mao akiwa na mke wake kwenye mtoko

Kama ulikua hujui ni kwamba mchezaji Himid Mao ana mke wa ndoa kabisa anaitwa Hanna Hafid. Himid Mao amenipa story exclusive kwamba amefunga ndoa...

MSANII BEN POL ANUSULIKA KUPOTEZA MAISHA BAHARINI

Sio Ben Pol peke Yake bali kulikua na watu wengine ambao alikua nao kwenye boti moja walitokea kisiwani. Kwa mujibu wa story aliyotoa Ben Pol...
471,192FansLike
1,420,891FollowersFollow
65,997FollowersFollow

Instagram