Thursday, September 20, 2018

Entertainment

Home Entertainment

AMBER ROSE AFUNGUKA JINSI FAMILIA YAKE ILIVYO MTENGA KISA WIZ KHALIFA

Mrembo Amber Rose ameweka wazi  jinsi familia yake ilivyo mtenga baada ya kuolewa na Wiz Khalifa.Aliyaongea hayo kenye documentary iitwayo LIGHT GIRLS  kuwa baadhi...

DIAMOND PLATNUMZ NA NYOTA WENGINE WA MUZIKI AFRIKA KUTUMBUIZA TUZO ZA MCHEZAJI BORA AFRIKA

WAANDAAJI wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika “Glo-CAF Awards” wamethitisha kuwa wanamuziki nyota wa Afrika watatumbuiza siku hiyo.  Tuzo hizo zitafanyika januari 15 mwaka...

POLISI WATOA MAELEZO YA AWALI KIFO CHA AISHA MADINDA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta na baadaye Extra Bongo, Aisha Mohamed Mbegu...

ANGALIA HAPA LIVE FAINALI ZA MISS WORLD 2014…JE. HAPPINESS WATIMANYWA ATATUTOA KIMASOMASO?

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=FGCvpCuaWRA]

DIDIER DROGBA AMUONYESHA FALLY IPUPA UMAHILI WA KUSAKATA RHUMBA…

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba alikuwa mgeni mwalikwa kwenye sherehe za tuzo ya mwanamke mwenye mafanikio kwa mwaka 2014 zilizofanyika jijini Paris nchini Ufaransa...

PICHA YA BIG BROTHER AKIWASILI JNIA LEO

Mshindi wa Sh. milioni 522 za Shindano la Big Brother Afrika (BBA), Idris amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar...

ALLI KIBA AWATAJA WASANII AMBAO AMEWA INSPIRE KATIKA MUSIC

Star huyo wa music wa kizazi kipya pia ni footballer Alli Kiba awataja wasanii wa kibongo alio wa inspire katika music huu wa kizazi...

Movie yaandaliwa kuzungumzia uhusiano wa Obama na Michelle

Hii imekuwa ni dili kumbe? Tena ya pesa ya kutosha iwapo unaifanikisha. Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu...

B 12 APINGA KUWA MASHABIKI WENGI WA YANGA SIO WANAOIPENDA MANCHESTER

Mtangazi wa kituo cha radio cha clouds fm B dozen,B twangala,B 12 apinga kuhusu maneno ya watu wengi wa mtaani wanaosema kuwa mashabiki wengi...

STORY KUBWA