Thursday, September 20, 2018

Entertainment

Home Entertainment

PICHA:MH.JANUARY MAKAMBA NA MSHINDI WA BIG BROTHER, IDDRIS SULTAN KUSHEHEREKEA SIKU YAO YA KUZALIWA...

  Leo tarehe 28/01/2015 ni siku ambayo wawili hao wamezaliwa ambapo wameamua kuungana pamojana ku-share na jamii siku yao ya kuzaliwa.   Leo asubuhi katika kipindi cha...

Lil Wayne aripoti kumchukua Drake na Nicki Minaj

Wakati seke seke la Lil wayne na Bird man bado linawaka moto ikiwa Weezy hapa juzi juzi ameamua kumshitaki Bird man kwamba anamdai pesa...

Maajabu ya Chatu kutumika kumtoa mtu uchovu

Mara nyingi mwili  ukichoka watu wengi wanapenda kufanya massage ili kuondoa uchovu, unaambiwa kuwa wageni wanaotembelea mji wa Cebu Zoo huko Philippines, wanafurahia  huduma mpya...

DRAKE BADO ANATAKA KURUDIANA NA RIHANNA

Mbali na Chris Brown kumaliza tofauti zao na Drake,ambapo chanzo kilikuwa ni mwana dada Rihanna,lakini kwa msanii Drake imekuwa tofauti mara baada ya kuonyesha...

Mike Tyson kwenye collabo ya wimbo na Madonna, hakujua aliitiwa nini studio!

Dunia ina mengi ya kuyakumbuka kuhusu bondia Mike Gerard Tyson, kuna ile rekodi ya kushinda mapambano mengi, makubwa lakini umri wake ulikuwa mdogo tu! Aliweza...

BABA WA MAREHEMU GEEZ MABOVO AMTENBELEA LAMAR KUSIKILIZA KAZI ALIZOACHA MWANAE

  Baba wa marehemu Geez mabovu mzee Ally amemtembelea producer Lamar kwenye studio yake jijini dar-es-salaam na kuzungumza nae kuhusu kazi zilizoachwa na mwanae katika...

Diamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa

    Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi...

KAMWAMBIE YA DIAMOND YA HIT UPYA NIGERIA

  Haijulikani ni vipi wimbo huo umeonekana dhahabu jana kwenye blogs za Nigeria, But kinacho vutia ni kuwa blogs zote kubwa na ndogo zimeipost wimbo...

Hawa ni wengine waliotajwa kuperform kwenye stage ya Tuzo za Grammy 2015

February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy, mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya...

Lil Wayne kutoa mixtape rasmi kwa ajili ya kuomba msamaha mashabiki

Wakati album yake ya The Carter V inasubiri tarehe ya kuachiwa rasmi, Lil Wayne ameamua kuomba msamaha kwa mashabiki zake kwa njia tofauti pale...

STORY KUBWA