Entertainment

Home Entertainment

HUAWEI Y360, KIKI INAYOPEWA INAFANANA NA UBORA WA SIMU HUSIKA?

Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli...

Ali Kiba agoma kuishi kambini kisa mke!

Mshambuliaji wa Coastal Union Ali Kiba kumbe yeye hakai kambini wakati wa maandalizi ya mechi za ligi kuu!! Mwenyewe King Kiba amesema miongoni mwa sababu...

Nikkiwapili apigilia msumari Mourinho kutimuliwa Man United

Yamezungumzwa mengi sana kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na sehemu nyingine nyingi kuhusu Mourinho kupigwa chini na Manchester United. Nikkwapili ni shabiki 'lialia' wa Man...

Nick, Fid Q, wafichua timu wanazoshabikia BONGO

Inawezekana ulikuwa unajua timu wanazozishabikia Ulaya, lakini sidhani kama ulikuwa unajua NIKKIWAPILI, FID Q na SOGGY DOGGY wanashabikia timu gani hapa Bongo. Leo wao wenyewe...

JE, WEWE NI MPENZI WA WWE?? UJUE UTATA WA JOHN CENA KWA MPENZIWE

Kwa kila mfuatiliaji ama hata yule ambaye sio mfuatiliaji sana wa mieleka maarufu kama WWE (World Wrestling Entertainment) atakua anamfahamu Super Star John Cena....

Hawa Ndio Mastaa Waliohudhulia kwenye party ya Utangulizi wa Tuzo za Grammy iliyoandaliwa na...

      Siku ya jana mastaa kadhaa walikutana kwenye party ambayo ilikuwa na chakula cha mchana pamoja na cocktails maeneo ya Beverly Hills Marekani, ambapo hii...

KTMA 2015 Yazinduliwa leo rasmi

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanjaro Premium Lager leo wamezindua rasmi msimu mwingine wa tuzo za muziki Tanzania unaojulikana kama Kilimanjaro...
video

AMBER ROSE NDANI YA PARTY YA MIAKA 10 YA D’BANJ

‘Koko Master’, D’Banj mtu mkubwa kwenye muziki anayeiwakilisha Nigeria na Afrika kwenye ramani ya dunia hakika anajivunia mengi kwenye safari yake, mafanikio ya kufanya kazi na...

KUMBE MCHEZAJI HUYU WA EPL NI DJ BAABKUBWA…

Zaidi ya kuwa na kipaji kimoja mtu anaweza kuwa na kipaji kingine au passion na kitu kingine tofauti na kile kinachompatia pesa kila siku. Swala...

Cannavaro afunguka nani anamkubali kati ya Diamond na Ali Kiba

Na. Richard Bakana, Dar es salaam Nahodha wa klabu ya Yanga SC pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ametoboa siri ya...

KUTANA NA MA-STAR 10 WA SOKA WAKALI WA ‘KUTUPIA’

Umekuwa ukiwaona ndani ya jezi wakiwajibika uwanjani lakini baada ya filimbi ya mwisho wanabalika na kuingia kwenye ulimwengu mwingine wa kawaida kuishi maisha yao...

[New Video] Ay ft Miss trinity & lamya-it’s going down

  Ni ile video ambayo Ay aliahidi kuitoa mwaka huu, ilikua ni ndoto yake kuona siku moja kufanya video na magari ya kunesanesa ambayo tulizoea...

EXCLUSIVE: JE WAJUA DIAMOND PLATNUMS ALIMWAMBIA NINI SHAFFIH DAUDA WALIPOKUTANA KIJIWENI?

Watu wengi wanamfahamu Diamond kama mkali wa muziki wa Bongo Flavor Tanzania, lakini jamaa hata kwenye upande wa michezo pia yumo na inawezekana kabisa...

Kutana na Juma Mahadhi mzee wa SINGELI

Ebwana mara nyingi wachezaji wanapokuwa wanaelekea kwenye game huwa tunawaona wakiwa na earphones au headphones masikioni mwao wakisikiliza midundo ya ngoma kali. Ukipiganao story wanasema...

Hawa wametajwa kuwa wapenzi 20 wa wanasoka…wenye mvuto zaidi.

Baada ya jana kukupa list ya wana michezo wa kike 20 wenye mvuto zaidi, leo nakuletea list na picha ya wake wa wanandinga 20...

BASATA yamkabidhi Bendera Mshindi wa Airtel Trace Music,

Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music...

Dauda TV : Tour ndani ya duka la club ya KRC Genk

Kwenye safari yangu ndani ya Belgium kama kawaida nimefanya ziara ndani ya duka la KRC Genk ambayo ndio timu anayochezea mtanzania Mbwana Samatta. Hii hapa...

Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali yaahidi Neema

SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo...

Unadhani kufanya COLLABO na staa DAVIDO ni kama shilingi ngapi hivi? Hapa kaongelea hilo..

Fans wa muziki ni mashuhuda wa Collabo kali ambazo staa wa Nigeria, DAVIDOameshiriki na kuzifanya kuwa nyimbo kubwa Afrika na Duniani, sikuwahi kusikia juu ya kiwango...

Hawa ni 20 female soccer stars wenye mvuto zaidi.

Hawa hapa ni wakina dada ambao uwanjani wana vitu vya kuonyesha na wakiwa nje ya uwanja wanavyo vingine vya kuonyesha. Wamejaaliwa kipaji cha soka...
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow