Tuesday, September 18, 2018

DOKUMENTARI

Home DOKUMENTARI

Guardiola amsifia Zlatan

Sehemu ya 9 simulizi ya maisha ya Zlatan Ibra alipoona kiwango chake kitaoza alituma barua ya kuomba kuuzwa. Lakini Guardiola alitaka kuficha ficha mambo kwa kudai...

Kocha mkuu wa Taifa Stars amefanya kazi Barcelona na Manchester United

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF limemtangaza rasmi nyota wa zamani wa timu ya Taifa Nigeria na klabu ya Barcelona, Emmanuel Amunike...

Huyu ndiye mwamba Thiery Henry mshambuliaji bora kuwahi kutokea EPL

Siku ya leo Theiry Henry anatimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwake. Leo hatutaki maneno mengi, tunaangalia rekodi zake, tuzo zake na mafanikio yake kwa...

N’golo Kante “panya”; kutoka kutafuta makopo mpaka tuzo

Hakuna mtu aliyezaliwa bila kupitia magumu. Maisha yana njia nyingi sana. Kabla hujafika mahali unapokwenda lazima ukutane na vikwazo vingi. Leo hii Ng’olo Kante...

Watoto wa magwiji wa zamani wa Ujerumani waliosaliti nyao za wazazi wao wakutana

Klabu ya Hertha BSC ilianzishwa mwaka  1892. Kwa sasa klabu hiyo wanacheza watoto wa miamba wa soka wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani....

La Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena

Ukiitazamana kwa makini NOU CAMP utagundua inaangamia taratibu ikiwa na tai shingoni. Wanahaha kila kukicha. Hivi majuzi kuna watu waliikebehi Barcelona kuwa imegeuka kuwa Madridfication...

Jezi ya Rashford ni nzito sana

Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby's "Babes" Kuna baadhi ya...

Sir Alex Ferguson awapotezea Arsenal

Niliamka asubuhi ni Mapema ili kuandaa timu yangu. Nikapokea simu ya mtu ambaye wala sikumjua. Akanieleza kwamba kuna dili la kuifundisha Arsenal. Muongeaji wa...

Guardiola na Zlatan Nusura wazichape

Simulizi ya Maisha ya Zlatan Hii Sehemu ya 9 Hatimaye maisha yake Inter Milan yalifika ukomo. aliamua kuondoka zake. Alipotua Barcelona alikwenda kutimiza ndoto zake ambazo...

Leon Bailey aliteseka sana kabla ya hajakutana na Samatta

Kuna mwandishi mmoja anajulikana kama Marlon James aliandika kitabu cha A Brief History of Seven Killings kitabu chake kilikataliwa mara 78. Yupo kinda wa...

STORY KUBWA