Tuesday, September 25, 2018

DOKUMENTARI

Home DOKUMENTARI

Leon Bailey aliteseka sana kabla ya hajakutana na Samatta

Kuna mwandishi mmoja anajulikana kama Marlon James aliandika kitabu cha A Brief History of Seven Killings kitabu chake kilikataliwa mara 78. Yupo kinda wa...

Jezi ya Rashford ni nzito sana

Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby's "Babes" Kuna baadhi ya...

Kocha mkuu wa Taifa Stars amefanya kazi Barcelona na Manchester United

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF limemtangaza rasmi nyota wa zamani wa timu ya Taifa Nigeria na klabu ya Barcelona, Emmanuel Amunike...

N’golo Kante “panya”; kutoka kutafuta makopo mpaka tuzo

Hakuna mtu aliyezaliwa bila kupitia magumu. Maisha yana njia nyingi sana. Kabla hujafika mahali unapokwenda lazima ukutane na vikwazo vingi. Leo hii Ng’olo Kante...

Unamshangaa King Kiba? Kuna hawa wengine walioimba na kupiga soka

Ulimwengu wa soka na mziki nchini Tanzania ulitawaliwa na habari kubwa wiki iliyopita baada ya msanii Ally Saleh Kiba almaarufu kama Ali Kiba kujiunga...

Carrick sio Paka ni simba aliyenyeshewa

Msimu wa 2006 tarehe 31 Mwezi Julai, Spurs walipokea dau la £14m, kumuuza Carrick, kuelekea klabu ya Man United. Ilikuwa tarehe kama ya leo...

La Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena

Ukiitazamana kwa makini NOU CAMP utagundua inaangamia taratibu ikiwa na tai shingoni. Wanahaha kila kukicha. Hivi majuzi kuna watu waliikebehi Barcelona kuwa imegeuka kuwa Madridfication...

Zlatan ambwatukia Mourinho

sehemu ya 8 Hii ni historia ya maisha ya mchezaji wa Zamani wa Man United na timu ya taifa ya Sweden Zlatan Sefik Ibrahimovic; ilipoishia: Amini...

Watoto wa magwiji wa zamani wa Ujerumani waliosaliti nyao za wazazi wao wakutana

Klabu ya Hertha BSC ilianzishwa mwaka  1892. Kwa sasa klabu hiyo wanacheza watoto wa miamba wa soka wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani....

Guardiola na Zlatan Nusura wazichape

Simulizi ya Maisha ya Zlatan Hii Sehemu ya 9 Hatimaye maisha yake Inter Milan yalifika ukomo. aliamua kuondoka zake. Alipotua Barcelona alikwenda kutimiza ndoto zake ambazo...

STORY KUBWA