DOKUMENTARI

Home DOKUMENTARI

Messi anavyowanyanyasa wenzake Ulaya

Ukitokea mpira wa adhabu nje ya eneo la hatari bila shaka kwa upande wa leo Messi hiyo ni sawa na mkwaju wa penati kwake....

Huyu Klopp ataikomboa Liverpool kweli kwa mfumo wake?

Na Robert Komba Mwanzoni mwa msimu wa 2018/19 katika ligi kuu ya uingereza, Liverpool pamoja na Manchester city ndizo timu zilizokuwa zikipewa nafasi kubwa ya...

Sarakasi wanazokumbanazo Mabibo FF kuifikia La Masia

Omary Malungu ni moja ya zao la Mabibo FF. Kwa sasa Omar anayejulikana kama Van Magoli kwa sasa yupo Mtibwa Sugar akiitumikia timu ya...

Watoto wa magwiji wa zamani wa Ujerumani waliosaliti nyao za wazazi wao wakutana

Klabu ya Hertha BSC ilianzishwa mwaka  1892. Kwa sasa klabu hiyo wanacheza watoto wa miamba wa soka wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani....

Huyu ndiye mwamba Thiery Henry mshambuliaji bora kuwahi kutokea EPL

Siku ya leo Theiry Henry anatimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwake. Leo hatutaki maneno mengi, tunaangalia rekodi zake, tuzo zake na mafanikio yake kwa...

La Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena

Ukiitazamana kwa makini NOU CAMP utagundua inaangamia taratibu ikiwa na tai shingoni. Wanahaha kila kukicha. Hivi majuzi kuna watu waliikebehi Barcelona kuwa imegeuka kuwa Madridfication...

Leon Bailey aliteseka sana kabla ya hajakutana na Samatta

Kuna mwandishi mmoja anajulikana kama Marlon James aliandika kitabu cha A Brief History of Seven Killings kitabu chake kilikataliwa mara 78. Yupo kinda wa...

Kocha mkuu wa Taifa Stars amefanya kazi Barcelona na Manchester United

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF limemtangaza rasmi nyota wa zamani wa timu ya Taifa Nigeria na klabu ya Barcelona, Emmanuel Amunike...

Jezi ya Rashford ni nzito sana

Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby's "Babes" Kuna baadhi ya...

Carrick sio Paka ni simba aliyenyeshewa

Msimu wa 2006 tarehe 31 Mwezi Julai, Spurs walipokea dau la £14m, kumuuza Carrick, kuelekea klabu ya Man United. Ilikuwa tarehe kama ya leo...

Unamshangaa King Kiba? Kuna hawa wengine walioimba na kupiga soka

Ulimwengu wa soka na mziki nchini Tanzania ulitawaliwa na habari kubwa wiki iliyopita baada ya msanii Ally Saleh Kiba almaarufu kama Ali Kiba kujiunga...

UKURASA WA 1: Huyu ndiye Nadir Haroub “Canavaro”

"Ilikuwa mechi ya Simba na Yanga. Mchezo ulikuwa mgumu sana. Viatu vilikuwa vinatembea sana uwanjani. Mwamuzi alionekana kuzidiwa kabisa mchezo kutokana na kila mchezaji...

Sir Alex Ferguson awapotezea Arsenal

Niliamka asubuhi ni Mapema ili kuandaa timu yangu. Nikapokea simu ya mtu ambaye wala sikumjua. Akanieleza kwamba kuna dili la kuifundisha Arsenal. Muongeaji wa...

Guardiola amsifia Zlatan

Sehemu ya 9 simulizi ya maisha ya Zlatan Ibra alipoona kiwango chake kitaoza alituma barua ya kuomba kuuzwa. Lakini Guardiola alitaka kuficha ficha mambo kwa kudai...

N’golo Kante “panya”; kutoka kutafuta makopo mpaka tuzo

Hakuna mtu aliyezaliwa bila kupitia magumu. Maisha yana njia nyingi sana. Kabla hujafika mahali unapokwenda lazima ukutane na vikwazo vingi. Leo hii Ng’olo Kante...

Guardiola na Zlatan Nusura wazichape

Simulizi ya Maisha ya Zlatan Hii Sehemu ya 9 Hatimaye maisha yake Inter Milan yalifika ukomo. aliamua kuondoka zake. Alipotua Barcelona alikwenda kutimiza ndoto zake ambazo...

Huyu ndiye Kocha wa zamani wa Yanga aliye aga dunia

Mario: nianze na salamu zangu za siku ya kuzaliwa za Jack Chamangwana nimefanya kazi na wachezaji nguli wa soka wengi sana hapa Mobile Motors...

Zlatan ambwatukia Mourinho

sehemu ya 8 Hii ni historia ya maisha ya mchezaji wa Zamani wa Man United na timu ya taifa ya Sweden Zlatan Sefik Ibrahimovic; ilipoishia: Amini...
474,517FansLike
1,576,140FollowersFollow
80,910FollowersFollow