Sunday, September 23, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Video: Dida amepata ‘dili’ nje ya Tanzania, Yanga wamebariki

Golikia wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' ameiambaia Dauda TV kuwa amepata timu nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka...

Penati ya mwendokasi aliyopiga Ali Kiba

Wakati TeamSamatta inaongoza 3-2 dhidi ya TeamKiba, TeamKiba ilipata penati na ilikuwa nafasi kwao kusawazisha na kurudi kwenye mchezo lakini nahodha mwenyewe King Kiba...

MA-STRIKER WA EPL WAPELEKA USHINDI ITALY

Magoli ya Emanuele Giaccherini na Graziano Pelle yameeipa ushindi Italia wa magoli 2-0 dhidi ya Ulelgiji na kuanza vema mbio za kufukuzia taji la...

WAZEE WA MIKEKA: UTABIRI WA KAIJAGE v SUSO LIGI KUU ENGLAND

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=fPeuFcHCCgE?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A] KAIJAGE VS SUSO PREMIER LEAGUE PREDICTION Arsenal V s Manchester city Kwa mara nyingine arsenal inakumbana na kigogo wa ligi katika mechi ya...

Video: Wanyama alivyopewa mtaa Ubungo

Juni 24, 2017 itabaki katika kumbukumbu za Victor Wanyama ambaye ni kiungo wa timu ya Tottenham ya England na timu ya taifa ya Kenya...

VIDEO: HII NDIO NDONDO CUP NA MZUKA WA MASHABIKI HUU HAPA

Ubungo Terminal walimenyana na Kigoma United toka Manzese na matokeo yakiwa sare ya goli 1-1, lakini mashabiki wake walileta uhai wa pambano hilo kwa...

STORY KUBWA