Wednesday, September 26, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

KOLO TOURE AMWAGA SIFA KWA DENIS SUAREZ  WA VILLARREAL  (Video)

Kolo Toure pamoja na Simon Mignolet walizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Villarreal ambao ulimalizika kwa Liverpool kuchezea kichapo...

Video-Kilichozungumzwa makocha baada ya game ya Yanga vs Njombe Mji

Baada ya mechi ya Yanga vs Njombe mji kumalizika huku mabingwa watetezi wakipata ushindi wa magoli 4-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani, makocha wa...

Video: Walichofanya Azam FC kwa Bocco sio poa’ – Shaffih Dauda

Timu ya soka ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake tegemeo wa muda mrefu John Raphael Bocco baada ya mkataba wake kumalizika, lakini ukweli...

DAUDA TV: MJADALA PENATI WALIYOPEWA MBEYA CITY DHIDI YA COASTAL UNION ILIKUWA HALALI AU...

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=9ge6vyagUF0&w=560&h=315]

VIDEO: Goli la Simba lililoipa Simba uongozi wa Kundi A Mapinduzi Cup 2017

January 3 Simba ilijiweka kwenye nafasi nzuri baada ya kupata ushindi wake wa pili kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuifunga KVZ kwa goli...

Video-Povu la Ammy Ninje baada ya kubanwa na wandishi wa habari

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 20 Ammy Ninje alishindwa kuzuia hasira zake mbele ya waandishi baada ya...

KIJIWENI : MADEE NA CHEGE USO KWA USO NA SHAFFIH DAUDA KUZUNGUMZIA MICHEZO..CHEKI WALICHOKISEMA.

  Wasanii wa bongoflava Chege na Temba muda mwingi wanazungumzia muziki lakini hawa jamaa ni wafatiliaji wakubwa wa soka. Sasa angalia video kutoka Dauda TV...

KAMA HUKUONA GOLI TAMU LA VARDY LICHEKI HAPA KUPITIA DAUDA TV

Jana usiku yalifungwa magoli mawili ya hatari sana kwenye Premier League, goli la pili la Manchester United lililofungwa na Anthony Martial pamoja na lile...

Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup

Miongoni mwa wadau wa muhimu kwenyesoka ni Rais wa TFF Wallace Karia, leo alijumuika na mashabiki kushuhudia game ya ufunguzi wa Ndondo Cup 2018. Dauda...

Video: Machache kutoka kwa mtanzania anaecheza Nakuru All Stars ya Kenya

Amani Kyata ni mtanzania anaekipiga kwenye klabu ya Nakuru All Stars ya Kenya ambayo ndio imeiondoa Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup. Mchezaji huyu...

STORY KUBWA