Saturday, September 22, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL

Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe alifunga...

ULIMUONA INFANTINO BAADA YA KUTANGAZWA AMESHINDA URAIS WA FIFA? (Video)

Gianni Infantino jana aliibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa FIFA ambaye ataongoza shirikisho hilo hadi mwaka 2009. Infantino alipata support kubwa kutoka kwa...

Dauda Tv: Makala maalumu ya timu ya yanga walipokabidhiwa kombe lao uwanjani.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=zV9rOS4zgDQ]

DAUDA TV: USIKUBALI KUPITWA NA EXCLUSIVE INTERVIEW NA MAGULI

Elius Maguli amekaa mbele ya camera ya Dauda TV na kufanya mahojiano maalum. Hii hapa ndio interview nzima kupitia timu ya ushindi Dauda TV. https://www.youtube.com/watch?v=Fwx0ZMv8lWY

VIDEO: RONALDO, IBRAHIMOVIC , WASHINDWA KUZIPA TIMU ZAO USHINDI

Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic wameshindwa kuzisaidia timu zao kuibuka na ushindi kwenye mchezo uliozikutasha timu ya PSG dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo...

DAUDA TV:TAZAMA MAKALA YA MARTUNIS, TABU NA SHIDA ALIZOPITIA HADI KUSAJILIWA NA SPORTING LISBON

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=4VUvwtNEQNo]

HIVI NDIVYO MEDEAMA WALIVYOWASILI JIJINI DAR.

Timu ya Medeama FC kutoka Ghana imewasili leo mchana jijini Dar es saalam tayari kabisa kwa mchezo wake dhidi ya Yanga SC katika kombe...

DAUDA TV: MAN CITY HOI TENA, SAFARI HII UGENINI

Vijana wa Manuel Pellegrini wameendelea kupata wakati mgumu kwenye michuano ya Ulaya baada ya kukumana na kipigo cha 1-0 kutoka kwa Juventus kwenye mchezo...

HIVI NDIVYO REAL MADRID WALIVYOSHANGILIA UBINGWA WAO.

Real Madrid wamenyanyua ndoo ya mabingwa Ulaya baada ya kushinda kwa matuta 5-3,lakini baada ya kukabidhiwa shangwe ilihamia mitaa mbalimbali ya jiji la madrid...

YANGA KUMEKUCHA UCHAGUZI KESHO,MANJI AZINDUA.

Klabu ya yanga kesho inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wa viongozi mbalimbali katika na nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya mwenyekiti,makamu na wajumbe wa kamati...

STORY KUBWA