Saturday, September 22, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA TV: Vodacom premier League Highlites! Azam FC vs Polisi moro ( 3-1)

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=0ncRiBLhLUw&w=640&h=360]

DAUDA TV: CHELSEA HOI BIN TAABAN…

Timu ya Chelsea bado imeendelea kuwa katika wakati mgumu kufuatia leo kupoteza tena mchezo wake wa ligi mbele ya Bournemouth ikiwa kwenye uwanja wake...

DAKIKA 40 KUTOKA DAUDA TV YA MEGAMIX KUHUSU KILICHOJIRI KWENYE UCHAGUZI WA SIMBA

Ukiangalia hii video utaona jinsi wagombea walivyua wanauza sera zao ili wanachama wawachague.Lakini mwisho wa siku kura zilipigwa na washindi wakapatikana. Hayo yote yanapatikana...

Video: “Sio mara yangu ya kwanza kuifunga Yanga, nina historia kubwa ya kuwafunga”-Kirihe

Mfungaji wa goli la Lipuli FC Seif Abdallah Kirihe amesema sio mara ya kwanza anaifunga Yanga kwa sababu tayari ameshawahi kuifunga Yanga kila mechi...

Video: Mbao FC walivyosaini udhamini wa milioni 140

Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza leo August 29, 2017 imesaini mkataba wa udhamini kutoka kampuni ya GF Trucks & Equipment LTD. Mkataba uliosainiwa...

Video: URENO KUTOKA ‘BEST LOSER’ HADI MABINGWA WA EURO 2016

Ureno wameweza kuikabili Ufaransa na kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Euro 2016 na kushinda taji lao kubwa kwa mara...

Video-Golikipa ‘kinda’ amezungumzia dakika zake 90 za kwanza VPL

Golikipa kijana wa Yanga Ramadhani kabwili amedaka kwa mara ya kwanza kwa dakika zote 90 za mchezo wa ligi kuu dhidi ya Njombe Mji,...

Video: ASHLEY COLE ALIVYOMDHIHAKI WENGER JUU YA MBIO ZA UBINGWA WA EPL

Jana Jumamosi, mchezaji wa zamani wa Chelsea na Arsenal Ashley Cole ali-post clip ya video kutoka BBC iliozihisisha timu ambazo zinatajwa kuwa kwenye kinyang'anyiro...

Video: Tshabalala amezungumzia tuzo ya mchezaji bora na ubingwa wa ASFC

Mchezaji bora wa VPL 2016/17 Mohamed Hussein 'Tshabalala' amesema, ni ndoto ya kila mchezaji kushinda tuzo ya mchezaji bora, kwa vile yeye ameshinda tuzo...

MADRID YASHINDA MECHI KWA GOLI 10

Ukitaka kujua ubora wa Real Madrid basi waulize Rayo Vallecano ambao wamejikuta wakishushiwa ‘ghalika’ ya magoli baada ya kuwaruhusu wachezaji wa Madrid kuzama kambani...

STORY KUBWA