Tuesday, September 18, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA TV: HIVI NDIVYO MTIBWA WALIVYOADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANGANYIKA

Wanamichezo wamefanya poa sana katika maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika ambapo mwaka huu imeadhimishwa kwa kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali yanayozunguka...

VIDEO: NEYMAR, SUAREZ, WAENDELEA KUING’ARISHA BARCELONA BILA MESSI

Barcelona imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kuifunga timu ya BATE Borisov kwa goli 3-0 kwenye...

VIDEO: LEICESTER ILINYIMWA TUTA ILI ISITANGAZE UBINGWA OT?

Kwanini haikuwa penati? Baada ya mchezo kati ya Manchester United vs Leicester City kumalizika story kubwa kwenye mindao ya kijamii ilikuwa ni tuta ambalo Leicester...

KUTANA NA BABU WA KEKO,SHABIKI WA NDONDO CUP AKIWA NYUMBANI NA KAZINI.

Kawaida tumekuwa tukiwaona wakiwa uwanja wa Bandari pale Temeke wakati mashindano ya Ndondo cup yakiendelea.ushangiliaji wao ni wa kipekee kwa aina ya mavazi ambao...

DAUDA TV: IBRAHIMOVIC AGOMA KUSHANGILIA BAADA YA KUIFUNGA TIMU ILIYOMLEA

Zlatan Ibrahimovic alirejea kwenye klabu yake ya zamani ya Malmo kucheza mchezo wa klabu bingwa Ulaya akiwa na kikosi cha PSG baada kuondoka kwenye...

KOCHA WA AZAM FC BYE BYE,ABWAGA MANYANGA SABABU HIZI HAPA.

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya...

VARDY AENDELEZA MOTO ENGLAND IKILALA NYUMBANI (Video)

Mambo bado yameendelea kumwendea poa Vardy msimu huu, baada ya kuiongoza Leicester kukaa kileleni mwa Premier League, ameifungia England magoli mawili ndani ya siku...

FARU JEURI YATINGA ROBO FANAILI NA MKWANJA WA JUU.

Kuanzia hatua ya 16 bora, anatafutwa mchezaji bora wa kila mechi zoezi ambalo limeanza leo ambapo Jerome Lambele ameibuka mchezaji bora wa mechi ya...

DAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL

Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe alifunga...

Dauda Tv: Makala maalumu ya timu ya yanga walipokabidhiwa kombe lao uwanjani.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=zV9rOS4zgDQ]

STORY KUBWA