Sunday, September 23, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA TV : DAMAS NDUMBALO

https://www.youtube.com/watch?v=-E2InqswCa4

KAMPUNI YA BIN SLUM YAINGIA MKATABA WA MILIONI 50 NA STENDI UNITED

  Baada ya kuingia mkataba na Mbeya city kampuni ya Bin Slum haijasimama kendelea kutoa support ya uhakika kwenye mpira wa Tanzania. Hivi sasa waliofaidika...

EPISODE 7 YA DAUDA TV : INTERVIEW NA MCHAMBUZI MAMADOU GAYE NA UTABIRI WA...

Mamadou Gaye ni mchambuzi wa soka maarufu sana barani Africa. Shaffih Dauda akiwa Brazil kamera ya Dauda TV ikakutana na mchambuzi huyu na akatoa...

EPISODE 6 YA DAUDA TV : MASHABIKI WA BRAZIL HAWAJAMALIZA KUSHANGILIA USHINDI DHIDI YA...

Nina hamu kubwa kuona jinsi sherehe za ubingwa wa kombe la dunia kama Brazil wakichukua hili kombe jinsi itakavyokuwa. Wanavyoshangilia kila kona ya mtaa...

DAUDA TV EPISODE 5 : CHEKI WATANZANIA NDANI YA BRAZIL PAMOJA NA JINSI NEYMAR...

Neymar ndio star wa Brazil kwenye kombe la dunia mwaka huu kama ilivyokuwa kwa watu kama Ronaldo kwenye miaka iliyopita. Mashabiki wa Brazil wanampenda...

EPISODE 4 YA DAUDA TV : MASHABIKI WA BRAZIL WAMNYANYUA JUU SHAFFIH DAUDA WAKISHANGILIA...

  Soka ni kitu kikubwa sana kwenye jamii ya watu wa Brazil hata kama wakiwa na matatizo ya kisiasa basi soka linaweza kutumia kuwaunganisha. Baada...

EPISODE 3 YA DAUDA TV : SHAFFIH ALIVYOKUTANA NA MBWIGA WA BRAZIL

Dauda TV bado ipo na wewe kukulete kila linalojili ndani ya Brazili. Hapa na pale ikakutana na Mbwiga wa Brazil, jamaa ana mic mkononi...

EPISODE 2 YA DAUDA TV : SHAFFIH DAUDA ALIVYOZUNGUMZA NA MASHABIKI KUHUSU MECHI YA...

Kabla ya mechi ya kwanza kabisa ya kombe la dunia nilizungumza na mashabiki na walikuwa na maoni yao. Cheki Dauda TV nikikupa tathmini yangu...

EPISODE 1 YA DAUDA TV: SHAFFIH AKICHEKI SHAMRASHAMRA ZA MASHABIKI NDANI YA BRAZIL

Fuatilia DaudaTV kipindi chote cha kombe la dunia na utapata kuona vitu vinavyotokea huku Brazil ndani na nje ya uwanja. Angalia hii ya kwanza...

Bosnia and Herzegovina-KUTOKA KWENYE MAPIGANO MAKALI HADI KUWAPA RAIA FARAJA….

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=aXp0uMQ9eI4] Jina la mshambuliaji wa klabu ya VFB Stuttgart ya nchini Ujerumani, Vedad IbiĊĦevic mwaka uliopita liliingia kwenye akili za watu wa taifa dogo...

STORY KUBWA