Tuesday, September 25, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA TV : EVANS AVEVA

https://www.youtube.com/watch?v=syxukRQY4TQ

MANENO YA JUMA KASEJA BAADA YA KUFANYA MAZOEZI NA KOCHA MAXIMO

Juma K Juma aliungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi ya kwanza chini ya kocha wa Marcio Maximo ambaye aliwahi kuwa kocha wake kwenye timu...

NIMEKUTANA NA MDAU MKUBWA WA SPORTS BAR NA SPORTS EXTRA NDANI YA UWANJA

Nikiwa kwenye kuangalia moja ya mechi huku Brazil nikakutana na mdau mkubwa wa Sports Extra na Sports Bar akiangalia mechi. Tukapata wasaa wa kuzungumza...

DAUDA TV : KOCHA MSAIDIZI WA YANGA (PRESS CONFERENCE)

https://www.youtube.com/watch?v=sxE1jxPtzc0

EPISODE 11 & 12 DAUDA IN BRAZIL MASHABIKI KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA WAPO...

Dauda in Brazil inaendelea na Episode 11 na 12. Kwenye hizi Episode utaona mahijiano ya mashabiki waliosafiri kutoka USA hadi Brazil kuangalia Brazuca na...

DAUDA TV : HII NI TAARIFA MUHIMI KUTOKA AIRTEL KWA WAPENDA SOKA

Kama wewe ni mdau wa soka na unapenda soka basi hii taarifa inakuhusu kutoka Airtel. https://www.youtube.com/watch?v=FsOXJHz8ckk https://www.youtube.com/watch?v=9RA8BFyyv8w

EPISODE 10 YA DAUDA IN BRAZIL : HII NDIYO HALI ILIVYOKUWA SIKU AMBAYO MABINGWA...

Watu wanaamini Hispania kuna soka zuri na tamu kuliangalia lakini mpira magoli, hii imewashangaza wengi siku ambayo Hispania walitolewa kwenye mashindano mapema sana. Lakini kawaida...

ULICHEKI HII YA DAUDA TV KUHUSU BIN SLUM NA NDANDA F.C

Kampuni ya Bin Slum imeendelea kutoa udhamini kwenye timu mbalimbali za ligi kuu ya soka Tanzania bara. Hivi sasa ikafika zamu ya kutangazwa dili...

EPISODE 9 DAUDA IN BRAZIL : UNAJUA MITAANI NINI KINATOKEA WAKATI BRAZIL IKIWA UWANJANI

Kama ulikuwa hujui ni kwamba timu ya Brazil ikiwa inacheza uwanjani shughuli zote zinasimama na wananchi wa Brazil wanakusanyika kwenye bar na viota mbalimbali...

EPISODE 8 DAUDA IN BRAZIL : INTERVIEW NA RAIS WA TFF JAMAL MALINZI NDANI...

Bado tupo kwenye mchakato wa Episode za Dauda in Brazil na hivi sasa nimekutana na Rais wa TFF Jamal Malizi tumezungumza mambo mbalimbali kuhusu...

STORY KUBWA