Friday, May 25, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

ULIMUONA INFANTINO BAADA YA KUTANGAZWA AMESHINDA URAIS WA FIFA? (Video)

Gianni Infantino jana aliibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa FIFA ambaye ataongoza shirikisho hilo hadi mwaka 2009. Infantino alipata support kubwa kutoka kwa...

YANGA KUMENOGA

https://youtu.be/FP913s0JH_s

VIDEO: ‘HIGHLIGHTS’ MANCHESTER UNITED VS MANCHESTER CITY

Timu ya Manchester United imelazimishwa sare ya bila kufungana na Manchester City kwenye mchezo wa ‘Manchester Derby’ ikiwa ni pambano la ligi kuu ya...

DAUDA TV: HIVI NDIVYO MTIBWA WALIVYOADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANGANYIKA

Wanamichezo wamefanya poa sana katika maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika ambapo mwaka huu imeadhimishwa kwa kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali yanayozunguka...

VIDEO: RONALDO, IBRAHIMOVIC , WASHINDWA KUZIPA TIMU ZAO USHINDI

Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic wameshindwa kuzisaidia timu zao kuibuka na ushindi kwenye mchezo uliozikutasha timu ya PSG dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo...

VIDEO: MAN CITY YASONGA MBELE MICHUANO YA UEFA

Manchester City imejihakikishia kucheza hatua ya 16 bora baada ya kuisambaratisha Sevilla kwa goli 3-1 na kuvuka hatua ya makundi na kufuzu kucheza hatua...

SPORTS XTRA DAY ILIBAMBA HATAREE

Makampuni mbalimbali ya jijini Dar yalijumuika pamoja katika viwanja vya CDS PARK zamani TCC CHANG'OMBE katika kuazimisha sikukuu ya wafanyakazi Tanzania.Bonanza hilo lilikua la...

JULIO anagombea udiwani kata ya Kigogo! Msikilize hapa…

Kocha wa Mwadui FC ya mkoani Shinyanga Jamhuri Kihwelu maarufu kwa jina la JULIO ni miongoni mwa waliotia nia ya kugombea udiwani katika kata...

KOCHA WA AZAM FC BYE BYE,ABWAGA MANYANGA SABABU HIZI HAPA.

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya...

STORY KUBWA