Thursday, July 19, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

dauda tv: Haya hapa mabao 8 waliyofunga Yanga dhidi ya Coastal Union.

hivi karibuni timu ya yanga iliifunga coastal union kutoka mkoani tanga mabao 8-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya vodacom. mchezo ulipigwa kwenye dimba la...

Uchambuzi wa Phil Neville: Man City ilikosa nidhamu ya mchezo dhidi ya Man United...

Beki wa zamani wa Man United na Everton Phil Neville alionekana kwenye kituo cha televisheni cha BBC akielezea sababu ya Man utd kuitandika Man...

Bayer Leverkusen Mtaalam wa mipira iliyokufa kwenye Bundesliga Hakan Calhanoglu [dauda tv]

Calhanoglu aliifungia Bayer Leverkusen bao la kufanya ubao wa matokeo kusoma 3-0 kwenye mchezo dhidi Mainz. Akiwa na umri wa miaka 21 tu Hakan Calhanoglu...

Goli la siku: kushangilia bao kwaitokea puani timu ya Zambia…..

Mara baada ya timu ya K-Stars ya nchini Zambia kufunga bao na wachezaji kwenda kushangalia ghafla timu ya Feroviaro ya nchini Msumbiji ilisawazisha bao...

DAUDA TV: BAO LA LEO- WESLEY SNEIJDER VS KONYASPOR

Sneijder alifunga bao hili kwenye mchezo wa ligi kuu ya Ugiriki kwenye ushindi wa timu yake ya Galatasaray wa maba0 4-1 dhidi ya Konyaspor...

KUTOKA ‘UWAKALA WA WACHEZAJI’ HADI JELA YA SOKA MIAKA 7, NDUMBARO ‘AMESARITIWA”?

Na Baraka Mbolembole, Soka la Tanzania ni ‘ aibu’ kubwa! Unalichukuliaje suala la Wakili, Damas Ndumbaro kufungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka saba?....

STORY KUBWA