Friday, October 19, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

VIDEO: MOURINHO AIPONDA NEWCASTLE

“Nadhani moja ya sababu kwa nini kwa miaka mingi Newcastle huwa hawapati nafasi nzuri katika msimamo wa ligi ni kwa sababu ya mtazamo huu...

DAUDA TV: SPORTS XTRA NDONDO CUP ( FC KAUZU Vs FRIENDS RANGERS ) -PENATI

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=D4CT9AA2ZG8]

DAUDA TV: SPORTS XTRA NDONDO CUP HIGHLITS

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=pLouERWg2ks]

DAUDA TV: MASHABIKI WANAVYOKUWA KWENYE SPORTS XTRA NDONDO CUP

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=FbpdmhF1oVA]

HII NDIO HALI YA MASHABIKI WA NDONDO CUP WAKATI TIMU ZAO ZIKIPIGIANA MATUTA

Presha ya kupanda na kushuka wakati wa matuta huwa si kwa makocha au wachezaji pekee bali kwa washabiki damu wa timu ndio hali inakua...

DAUDA TV: PITIA HAPA KUZIONA PENATI ZA MCHEZO WA YANGA NA AZAM FC

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=CQP6Wu62ObU]

TFF NA MIPANGO KABAMBE YA SOKA LA VIJANA

Katika mipango kabambe ya kuliendeleza soka la tanzania ili lifike mbali na ikiwezekana tushiriki kombe la dunia mwaka 2026.basi shirikisho hilo limejipanga kweli...

TANZANIA MWENYEJI WA MICHUANO YA SOKA LA VIJANA AFRICA 2019

Raisi wa TFF Jamal Malinzi leo alikua na mkutano na waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za mipango ya chama hicho juu ya...

HAWA KWELI NI KAUZU ZAIDI YA DAGAA,HIZI NDIZO SHANGWE ZAO KATIKA MCHEZO WA JANA...

Toroka uje ndio slogan yetu lakini msemo huu una maana zaidi pale utapofanikiwa kuja na kushuhudia kinachoendelea viwanjani ndani ya mashindano ya Sports extra...

KWA MZUKA HUU UNAIKOSAJE NDONDO CUP,MASHABIKI WA MAKUMBA FC WAFUNIKA MBAYA JIONEE MAUNO KAMA...

Sports Xtra Ndondo Cup leo iliendelea kama kawaida hatua ya 16 bora na tumeshuhudia timu ya Temeke Market ikiaga mashindano baada ya kukubali kipigo...

STORY KUBWA