Sunday, September 23, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

VIDEO: MAGOLI YOTE ATLETICO MADRID VS REAL MADRID

Bao la lala salama lililofungwa na Luciano Vietto liliipatia Atletico Madrid pointi moja kwenye mchezo dhidi ya mahasimu wenzao wa jiji la Madrid Real...

VIDEO: GOLI ZOTE 3 ZA ARSENAL VS MAN U NDANI YA DAKIKA 20

Jana Manchester United walichezea kichapo cha goli 3-0 mbele ya Arsenal, Alexis Sanchez alikuwa kwenye kiwango cha hali ya juu akipiga bao mbili za...

VIDEO: SAMATTA AIPELEKA TP MAZEMBE FAINALI

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta jana amepiga bao mbili wakati Roger Assale akipiga moja kuipa TP Mazembe ushindi wa goli 3-0 kwenye...

VIDEO: MAGOLI YOTE MATANO YA AGUERO DHIDI YA NEWCASTLE UNITED

Mchezaji wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina ameingia kwenye rekodi ya wachezaji wengine ambao wamewahi kufunga magoli matano kwenye...

DAUDA TV : JINSI WATU WANAVYOKAMATA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE VPL

Licha ya timu nyingi kutaka kuunza jezi zao original lakini bado kuna gap jinsi jezi hizo zitakavyowafikia mashabiki. Kwenye hilo gap wanakuja wafanya biashara...

VIDEO: INTERVIEW YA RONARDO BAADA YA KUFIKIA REKODI YA RAUL NA KUWEKA REKODI MAGOLI...

Jumatano iliyopita Cristiano Ronaldo alifikia rekodi ya Raul Gonzalez ya kuwa mfungaji bora wa muda wote ndani klabu ya Real Madrid katika ushindi wa...

DAUDA TV: Angalia mabao ya Yanga ilipovunja mwiko Jamuhuri mbele ya Mtibwa Sugar.

Hapo jana Yanga iliifunga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye mchezo wa Jamhuri mjini Morogoro. haya ndio mabao yaliyofungwa na Malimi Busungu pamoja na Donald Ngoma. [youtube...

MARA BAADA YA MECHI…KOCHA WA SIMBA ALISEMA HAYA

Kocha wa Simba alizungumza mbele ya kipanza cha Dauda TV na kutoa maoni yake juu ya mchezo ambao ulikua mgumu na kushuhudia timu yake...

MAONI YA MASHABIKI NA WALIVYOKUA WANASHANGILIA KABLA YA MECHI YA SIMBA VS YANGA

Dauda TV iliwapa nafasi mashabiki kutoa maoni yao mara baada ya mechi na pia camera yake ikaweza kukamata matukio yote yaliyokua yanatokea nje ya...

KAMA ULIPITWA NA MAGOLI YA SIMBA NA YANGA HAYA HAPA KWA AJILI YAKO

Kama ulipitwa na magoli ya mechi ya Simba na Yanga basi haya hapa kwa ajili yako kupitia Dauda TV. https://www.youtube.com/watch?v=MUdmHRArHxg https://www.youtube.com/watch?v=GlaymM5Q1vI https://www.youtube.com/watch?v=ROj3CL6WJrY

STORY KUBWA