Monday, October 23, 2017

Dauda TV

Home Dauda TV

DAUDA IN BRAZIL EPISODE 19: HUKU SIO SIKA TU, WATU WANAJIACHIA KUANZIA BEACH HADI...

Ukiwa Brazil sio soka tu linaendela bali hata starehe ndio penyewe. Huku kuna ufukwe maarufu kabisa duniani unaitwa Copacabana na ujaza watu wengi ukizngatia...

DAUDA IN BRAZIL EPISODE 18 : MAHOJIANO NA MASHABIKI WA ARGENTINA BAADA YA USHINDI,...

Haya yalikuwa mazungumzo yangu na mashabiki wa Argentina baada ya ushindi wao na kuingia nusu fainali. Swali ni kwamba kwenye mechi ya leo kati...

SIKILIZA TAFSIRI YA ALICHOSEMA MBRAZIL WA YANGA

Anaitwa Andrey Ferreira Coutinho kwa mara ya kwanza amekutana na Dauda TV lakini hapa amezungumza kireno tu. Lakini kwenye hii video nimekuwekea na tafsiri...

DAUDA TV : MAWAZO YA JUMA ABDU BAADA YA KUJA KOCHA MAXIMO

Kila mchezaji alikuwa na mawazo yake baada ya kocha Marcio Maximo kuja kuifundisha club ya Yanga. Huyu ni Juma Abdu akizungumza yeye kama mchezaji...

DAUDA TV : EVANS AVEVA

https://www.youtube.com/watch?v=syxukRQY4TQ

MANENO YA JUMA KASEJA BAADA YA KUFANYA MAZOEZI NA KOCHA MAXIMO

Juma K Juma aliungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi ya kwanza chini ya kocha wa Marcio Maximo ambaye aliwahi kuwa kocha wake kwenye timu...

NIMEKUTANA NA MDAU MKUBWA WA SPORTS BAR NA SPORTS EXTRA NDANI YA UWANJA

Nikiwa kwenye kuangalia moja ya mechi huku Brazil nikakutana na mdau mkubwa wa Sports Extra na Sports Bar akiangalia mechi. Tukapata wasaa wa kuzungumza...

DAUDA TV : KOCHA MSAIDIZI WA YANGA (PRESS CONFERENCE)

https://www.youtube.com/watch?v=sxE1jxPtzc0

EPISODE 11 & 12 DAUDA IN BRAZIL MASHABIKI KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA WAPO...

Dauda in Brazil inaendelea na Episode 11 na 12. Kwenye hizi Episode utaona mahijiano ya mashabiki waliosafiri kutoka USA hadi Brazil kuangalia Brazuca na...

DAUDA TV : HII NI TAARIFA MUHIMI KUTOKA AIRTEL KWA WAPENDA SOKA

Kama wewe ni mdau wa soka na unapenda soka basi hii taarifa inakuhusu kutoka Airtel. https://www.youtube.com/watch?v=FsOXJHz8ckk https://www.youtube.com/watch?v=9RA8BFyyv8w

STORY KUBWA