Friday, September 21, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Wachezaji Ndondo Cup msikilizeni Geoff Lea

Mchambuzi wa masuala michezo Geoff Lea amesema mashindano ya Ndondo Cup ni daraja kwa wachezaji kupiga hatua kwenda sehemu nyingine ikiwa ni pamoja na...

Kabwili mara ya kwanza uwanja wa Ndondo na alichojifunza

Golikipa chipukizi wa Yanga na timu ya taifa Ramadhani Kabwili kwa mara ya kwanza ameshuhudia mechi ya Ndondo Cup akiwa uwanjani, hiyo ilikuwa ni...

Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup

Miongoni mwa wadau wa muhimu kwenyesoka ni Rais wa TFF Wallace Karia, leo alijumuika na mashabiki kushuhudia game ya ufunguzi wa Ndondo Cup 2018. Dauda...

Ngasa apagawa na Ndondo Cup

Kwenye uzinduzi wa Ndondo Cup 2018 Dauda TV imekutana na mtanzania ambaye amewahi kucheza mechi ya ushindani dhidiya kikosi cha Manchester United. Anko alicheza mechi...

Samatta, Wanyama wapagawisha Ndondo Cup

Msimu wa Sports Xtra  Ndondo Cup umezinduliwa rasmi leo Ijumaa June 8, 2018 kwenye uwanja wa Kinesi na kushuhudia Mabibo Market ikishinda 3-2 dhidi...

Masoud Djuma kuhusu ishu ya kujiuzulu Simba

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma amekanusha taarifa inayosambaa kwenye social media kwamba amejiuzulu kuifundisha klabu hiyo ambayo kwa sasa ipo nchini Kenya ikiendelea...

Msuva kaendesha kliniki ya soka mbele ya Mwakyembe

Mchezaji wa club ya Difaa El Jadida na Taifa Stars Simon Msuva leo Juni 3, 2018 ameendesha kliniki kwa ajili ya kuwasaidia vijana wa...

“Singida ilicheza kufurahisha mashabiki”-Kocha Mtibwa

Mtibwa Sugar imekutana na Singida United kwa mara ya tatu, imeshinda mechi mbili na kutoka sare mchezo mmoa. Singida United imepigwa bao 6-2 katika...

Kuna uhusiano kati ya marehemu Shose na ASFC? “Nimetokanae mbali sana”-Henry

May 27, 2017 Simba ilishinda ubingwa wa ASFC baada ya kuifunga timu iliyopanda daraja (Mbao FC) kwenye mchezo wa fainali lakini siku moja baadaye...

“Mechi ilimshinda mwamuzi”-Shaffih Dauda

Tukio la mwamuzi Emmanuel Mwandembwa kutoa kadi nyekundu kwa Hassan Dilunga halau mchezaji huyo hakutoka limewavuruga watu kibao waliokua wanafatilia mchezo wa fainali ya...

STORY KUBWA