Tuesday, September 25, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

TEVEZ APIGA BAO LA AJABU ARGENTINA (Video)

Carlos Tevez amefunga bonge la bao baada ya kuwapunguza mabeki akitoka na mpira nusu ya pili ya uwanja hadi golini kisha kuujaza mpira wavuni...

VIDEO: Welbeck alichomfanyia Wilshere baada ya Arsenal kufunga bao la kwanza

Arsenal walianza kupata bao la kuongoza dhidi ya Bournemouth baada ya Alexis Sanchez kuinasa back pass ya Steve Cook na kuandika bao. Baada ya goli...

liverpool itamaliza nje ya top 4 msimu huu.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=9yx_1qFzXq0&w=640&h=360] ambapo vilabu mbali vitashuka dimbani kuanza harakati mbali mbali,baadhi vikiwania ubingwa,vingine vikipambana kubaki ligi kuu na vingine vikipigana kumbo kutoshuka daraja. Msimu uliopita...

Video-Himid Mao na Hemed Morocco wamezunguza kuelekea mechi ya Stars vs DR Congo

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya DR Congo mchezo ambao upo kwenye kalenda...

Video-Msuva baada ya kuwasili Dar toka Morocco

Mchezaji wa club ya Difaa El Jadida na Taifa Stars Simon Msuva amerudi nchini akitokea Morocco kwa ajili ya mapumziko mafupi kabla ya kujiunga...

Video:Magoli yote Simba vs Taifa Jang’ombe Mapinduzi Cup2017

January 1, 2017 Simba imecheza mchezo wake wa kwanza wa Mapinduzi Cup hatua ya makundi dhidi ya Taifa Jang'ombe na kufanikiwa kupata ushindi wa...

Video: BAADA YA MANJI KUJIUZULU, HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JANGWANI

Baada ya Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo, Mashabiki na wanachama wa Yanga wamekusanyika kwenye ofisi za klabu hiyo wakipinga kujiuzulu...

Video: PAYET AIPA UFARANSA USHINDI WA JIONI KWENYE MECHI YA UFUNGUZI

Bao la dakika za lala salama limewapa ushindi Ufaransa dhidi ya Romania kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Euro 2016 kwenye uwanja wa...

DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE TAIFA STARS VS ALGERIA

Timu ya Tifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kubanwa na kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 na timu ya taifa...

Masoud Djuma kuhusu ishu ya kujiuzulu Simba

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma amekanusha taarifa inayosambaa kwenye social media kwamba amejiuzulu kuifundisha klabu hiyo ambayo kwa sasa ipo nchini Kenya ikiendelea...

STORY KUBWA