Thursday, September 20, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Maoni na utabiri wa Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa VPL 2017/2018

Wadhamini wa ligi kuu Tanzania bara kampuni ya Vodacom tayari imeshagawa vifaa kwa timu shiriki za ligi hiyo hii ikiwa na maana kwamba, msimu...

Show ya Haji Manara baada ya ushindi wa Simba

Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga ulimtoa Haji Manara jukwaa la VIP hadi chini kabisa kuja kuwapa show mashabiki wa timu hiyo kusherekea ushindi...

Rais wa Simba, Manara wavurugana kuhusu kocha

Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah maarufu kama 'Try again' amepishana na ofisa habari wake kuhusu suala la kocha mkuu wa klabu hiyo Pierre...

Video: Magoli ya Samatta na Rooney kwenye mechi ya kirafiki KRC Genk vs Everton

Leo Julai 22, 2017 Mbwana Samatta ameandika rekodi ya kufunga goli dhidi ya klabu inayoshiriki ligi kuu ya England baada ya kufunga bao la...

Video: Dakika 1 ya ushauri wa Masao Bwire kwa Yanga

Yanga wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika msimu ujao kufuatia kuwa mabingwa wa VPL 2016/2917. Msemaji wa Ruvu Shooting Mao Mwire ametoa ushauri...

Video-Povu la Ammy Ninje baada ya kubanwa na wandishi wa habari

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 20 Ammy Ninje alishindwa kuzuia hasira zake mbele ya waandishi baada ya...

VIDEO: Magoli na rekodi 6 zilizowekwa baada ya ushindi wa Chelsea dhidi ya Arsenal

Arsenal wamechezea kisago kingine kizuri cha magoli 3-1 kutoka kwa Chelsea kwenye game ya Premier League iliyopigwa kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Magoli ya Marcos Alonso, Eden...

Mzambia wa Lwandamina ampagawisha Manara

Ofisa habari wa Simba Maji Manara amepagawishwa na uwezo wa kiungo wao mpya Cletus Chota Chama waliyemsajili Dynamos ya Lusaka Zambia kutokana na uwezo...

Video-Mate yamponza Yondani

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imemsimamisha beki wa Yanga Kelvin Yondani kutokana na kumtemea mate Asante Kwasi katika mhezo wa VPL kati ya...

VIDEO: Utamshuhudia Samatta hatua ya 16 bora Europa League

Mbwana Samatta ameandika historia nyingine tena usikuwa wa Alhamisi February 24, 2017 baada ya timu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji kufuzu hatua ya...

STORY KUBWA