Friday, September 21, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Video-Golikipa ‘kinda’ amezungumzia dakika zake 90 za kwanza VPL

Golikipa kijana wa Yanga Ramadhani kabwili amedaka kwa mara ya kwanza kwa dakika zote 90 za mchezo wa ligi kuu dhidi ya Njombe Mji,...

PAMOJA NA FIGISU ZOTE YANGA YAPENYA, VIDEO HII HAPA

https://youtu.be/DfAqWO2AvKo

HIVI HIVI NDIVYO TULIVYOSHANGILIA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE.

Taifa palinoga sana kwa mbwembwe na ushangiliaji wa aina yake.hapa chini nimekuwekea video jionee mwenyewe. https://youtu.be/3oXlpkYUagU

EXCLUSIVE INTERVIEW NA KOCHA WA SIMBA ZDRAVKO LOGARUSIC

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=rfXJ-lwKaJ8&w=640&h=360]

Video: Majibu ya Erasto Nyoni kuhusu kuondoka Azam FC

Baada ya kudumu kwa miaka saba (7) hatimaye Erasto Nyoni ameondoka kwenye kikosi cha Azam FC na kujiunga na Simba akiwa mchezaji huru mara...

DAUDA TV: GARY NEVILLE AISHUHUDIA VALENCIA IKIIBANA MBAVU BARCELONA

Mabingwa watetezi wa taji la ligi ya Hispania na Ulaya Barcelona wamelazimihwa sare ya kufungana goli 1-1 na vigogo wengine wa ligi ya Hispania...

Video-Goli la kimataifa la Juma Mahadhi Yanga vs St Louis

Jumamosi ya Februari 10, 2018 Yanga mecheza mechi yao ya kwanza ya klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) na kufanikiwa kupata ushindi wa goli...

VIDEO: MARTIAL AINUSURU UNITED KUCHEZEA KICHAPO UGENINI

Manchester United ikiwa ugenini imelazimishwa sare ya kufungana goli 1-1 dhidi ya timu ya CSKA Moscow ya Urusi kwenye mchezo wa kundi B michuano...

Dauda TV : Tour ndani ya duka la club ya KRC Genk

Kwenye safari yangu ndani ya Belgium kama kawaida nimefanya ziara ndani ya duka la KRC Genk ambayo ndio timu anayochezea mtanzania Mbwana Samatta. Hii hapa...

STORY KUBWA