Friday, September 21, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Baada ya ushindi mwembamba Manara awatolea povu wanasimba, “Uturuki hatukwenda jifunza mpira, tulieni”

Mpira bwana una raha zake na mashabiki wa soka wanaufanya mpira uwe kati ya mchezo mtamu sana ulimwenguni, malalamiko pamoja na vioja vyao ndio...

Exclusive: “Tegete alienda kufanya majaribio Ulaya, akarudishwa acheze mechi ya Simba na Yanga” –...

Tumemnasa mchezaji wa zamani wa soka la Tanzania lakini kwa sasa ni kocha John Tegete ambaye ni baba mzazi wa mchezaji Jerry Tegete wa...

Video: Dida amepata ‘dili’ nje ya Tanzania, Yanga wamebariki

Golikia wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' ameiambaia Dauda TV kuwa amepata timu nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka...

Simba ushindi ndani na nje

Ndiyo hivyo, Simba imeshinda ndani na nje ya uwanja. Goli pekee la Erasto Nyoni kwenye pambano la Kariakoo Derby limeipa Simba pointi tatu na...

“Sijafurahishwa na ushindi wa goli moja” Mgosi alitaka Yanga wafungwe ngapi?

Wanasema ushindi ni ushindi haijalihi ni wa aina gani lakini legendary wa Simba Mussa Hassan Mgosi kwa upande wake anasema hajafurahia Simba kupata ushindi...

Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

Dauda TV imekutana na ma-star wa Bongofleva lakini pia ni washkaji sana Ali Kiba na Ommy Dimpoz, mbali na muziki hawa jamaa ni mashabiki...

Majibu ya Samatta kuhusu tetesi za kusajiliwa na Fenerbahçe

Ikiwa dirisha la usajili Ulaya linaelekea kufungwa, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amezungumzia kuhusu tetesi zilizo mhusisha kuijiunga na klabu ya Fenerbahçe inayoshiriki ligi...

Video: Matuta yaliyoipeleka Yanga nusu fainali michuano ya SportPesa

Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penati 4-2...

Video: Mambo aliyozungumza Victor Wanyama baada ya kutua Dar

Baada ya Victor Wanyama kuikanyaga ardhi ya Dar, Dauda TV ilipata fursa ya kupiga nae story kutaka kujua baadhi ya mambo muhimu kutoka kwa...

“Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa nyepesi sana”-Chuji

Kiungo wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Athumani Idd 'Chuji' amesema mehi ya watani wa jadi (Simba vs Yanga) ilikuwa nyepesi sana ukilinganisha...

STORY KUBWA