Dauda TV

Home Dauda TV

Video: “Tutamuacha Kapombe ili afanyiwe uchunguzi Muhimbili” Doctor-Taifa Stars

Beki wa kulia Taifa Stars na klabu ya Simba Shomari Kapombe ni mchezaji pekee ambaye ni majeruhi kwenye kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa...

Video: Mzee Tegete na kocha wa Mbao wametoa somo kwa wanaobeza Ndondo Cup

Kocha wa zamani wa Toto Africans John Tegete na kocha wa sasa wa Mbao FC wamewashangaa watu ambao wamekuwa wakibeza mashindano ya Ndondo Cup...

Video: Mbao inataka kumsajili golikipa mtanzania aliyeshindwa kucheza Kenya

Timu ya Mbao FC ipo kwenye mazungumzo na golikipa Kabaly Faraji ambaye ameshindwa kucheza kwenye klabu ya Sony Sugar ya Kenya baada ya kukosa...

Video: Magoli yote yaliyofungwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Taifa Stars vs Rwanda

Leo Julai 15, 2017 imechezwa mechi kati ya Tanzania vs Rwanda kuwania kufuzu fainali za CHAN 2018 zitakazofanyika nchini Kenya, mechi hiyo imechezwa kwenye...

Video: Mayanga kataja sababu za Stars kukosa ushindi vs Rwanda

Baada ya mechi ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Rwanda, kocha wa Stars Salum Mayanga amezungumza na waandishi wa habari na kuweka...

RASMI: Banda ametangaza kuondoka Simba

Beki wa Simba na timu ya taifa 'Taifa Stars' Abdi Banda leo anaondoka Tanzania kwenda Afrika Kusini kujiunga na timu yake mpya ya Baroka...

Video: Star wa Everton amepata mapokezi makubwa Tanzania kutoka kwa raia wa DR Congo

Mashabiki wengi raia wa DR Congo walijitokeza ku-show love kwa mchezaji Yannick Bolasie anaecheza Everton na timu yataifa ya Congo wakati akiwasili Tanzania na...

Video: Mazoezi ya Everton kwenye uwanja wa Taifa

Kikosi cha Everton kimefanya mazoezi mepesi leo kwenye uwanja wa wa taifa kalba ya mchezo wao dhidi ya Gor Mahia ya Kenya mechi ambayo...

Video: Rooney, Everton in Dar es Salaam

Wayne Rooney amewasili kwenye ardhi ya Bongo akiwa na kikosi kizima cha Everton kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ikiwa...

Video: Singida United imetambulisha wachezaji wawili kutoka Rwanda

Singida United imetambulisha wachezaji wengine wawili wa kimataifa Michel Rusheshangoga na Danny Usengimana wote raia wa Rwanda na wachezaji wa timu ya taifa ya...

STORY KUBWA