Wednesday, September 19, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Simba watikisa jiji la Mwanza

Mashabiki wa Simba wameuteka mji wa Mwanza kwa rangi nyekundu na nyeupe za jezi ya timu yao. Walianza kwenda kuipokea timu uwanja wa ndege...

MSANII PITBULL ATOA WIMBO MAALUM KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2014.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=TGtWWb9emYI&w=640&h=360]

KAMA HUKUSHUHUDIA KIPIGO ILICHOTOA AZAM KWA TOTO, ANGALIA MAGOLI YOTE YA AZAM FC KUPITIA...

Jumapili ya November 1, Azam ilipata ushindi wa goli 5-0 mbele ya Toto Africans kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye uwanja wa Azam...

YANGA WALIVYOMALIZA MZUNGUKO WA KWANZA WA LIGI KWA KUIMALIZA RUVU SHOOTING.

Yanga wamefanikiwa kumaliza vyema mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kuwandika Maafande wa Ruvu Shooting kwa mabao 2-1, mchezo uliofanyika...

Iwe jua, iwe mvua, mnyama lazima kieleweke Mapinduzi

Kocha wa mkuu wa muda wa Simba Masoud Djuma amesema bado hawajakata tamaa yeye na vijana wake katika kutafuta nafasi ya kufuzu nusu fainali...

KAMA HUKUONA VIWANJANI LEO YA CLOUDS TV NIMEKUSOGEZEA HAPA.

Ni mengi yametokea viwanjani leo lakini hapa nimekuletea habari za michezo kutoka VIWANJANI LEO ya Clouds tv.angalia habariĀ  kwa kina hapa. https://youtu.be/Pwz58BLVATI

Tshishimbi azua balaa Yanga, kocha afafanua ‘sub’ yake

Baada ya Yanga kupoteza mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba, mashabiki wa Yanga waliwazonga viongozi wa klabu hiyo wakilalamika kwamba hawataki kocha...

Video: Machache kutoka kwa mtanzania anaecheza Nakuru All Stars ya Kenya

Amani Kyata ni mtanzania anaekipiga kwenye klabu ya Nakuru All Stars ya Kenya ambayo ndio imeiondoa Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup. Mchezaji huyu...

Video: SHAFFIH DAUDA USO KWA USO NA FERNANDO TORRES MAZOEZINI MILAN, ITALY

Nipo hapa mjini Milan kuhakikisha mdau na msomaji wangu wa shaffihdauda.co.tz haupitwi na tukio hata moja la kimichezo ambalo litajiri hapa kuelekea mchezo wa...

Video-Kocha wa Mwadui anaamini mazuri zaidi yanakuja

Kocha mkuu wa Mwadui FC Ally Bizimungu amesema wachezaji kumsikiliza na kufuata maelekezo yake uwanjani pamoja na viongozi kutimiza majukumu yao kutaifanya timu ifanye...

STORY KUBWA