Friday, September 21, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Exclusive: Kaseja ametoa maoni na ushauri baada ya Ajib kuhamia Yanga

Julai 5, 2017 klabu ya Yanga ilimtambulisha rasmi Ibrahim Ajib baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea kwa watani wao wa jadi Simba...

Exclusive Video: Niyonzima amezungumzia hatima yake ndani ya Yanga

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amejibu kuhusu tetesi zilizopo mtaani kwamba huenda akaondoka ndani ya kikosi cha Yanga na asiwepo kwenye msimu ujao wa...

Maoni ya ‘Uncle’ Ngasa baada ya game Simba vs Yanga

Mrisho Ngasa 'Uncle' ni mjongoni mwa mastaa ambao waliishuhudia game ya Simba na Yanga Jumapili ya Aprili 29, 2018 uwanja wa Taifa Dar na...

Tshishimbi azua balaa Yanga, kocha afafanua ‘sub’ yake

Baada ya Yanga kupoteza mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba, mashabiki wa Yanga waliwazonga viongozi wa klabu hiyo wakilalamika kwamba hawataki kocha...

Exclusive: Msuva ameitaja timu atakayocheza Morocco, ameaga mashabiki

Hatimaye kiungo mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars Simon Msuva hatutamuona akicheza VPL kuanzia msimu ujao baada ya dili lake la kwenda kucheza nje...

Story yenye huzuni na matumaini, uvumilivu umemkutanisha Hazard na Jokate hatimaye ndoto zinatimia

Siku zote usikate tamaa kwenye maisha kufanikisha kile ambacho unakiamini, haijalishi utapita kwenye changamoto zipi, itakuchukua muda kiasi gani kufikia malengo lakini pambana kwa...

VIDEO: Goli la Mavugo lililoipeleka Simba robo fainali FA Cup

TIMU ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kombe la FA baada ya kuifunga African Lyon kwa bao 1-0 kwenye...

VIDEO: Zlatan Ibrahimovic ameigawa familia ya Pogba

Hat-trick ya Zlatan Ibrahimovic imeipa ushindi Manchester United wa magoli 3-0 dhidi ya Saint-Etienne kwenye mchezo wa Europa League hatua ya 32 bora uliochezwa usiku wa...

Video: Majibu ya Erasto Nyoni kuhusu kuondoka Azam FC

Baada ya kudumu kwa miaka saba (7) hatimaye Erasto Nyoni ameondoka kwenye kikosi cha Azam FC na kujiunga na Simba akiwa mchezaji huru mara...

Walichozungumza Haji Manara, Niyonzima na Okwi baada ya kubeba Ngao ya Jamii

Baada ya game ya Ngao ya Jamii kumalizika na Simba kuibuka mabingwa wapya, ilikuwa ni time ya kufanya interviews  na wachezaji pamoja na wadau...

STORY KUBWA