Dauda TV

Home Dauda TV Page 2

“Mapinduzi Cup, SportPesa, HAIKUWA TARGET YANGU”-Kocha Simba

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema mashindano ya Mapinduzi Cup na SportPesa hayakuwa kwenye mipango yake. Mipango yake ni kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa...

Vilabu vya Bongo vinaacha Mil 70 SportPesa, ligi haina mdhamini!!

Mwandishi na mchambuzi wa michezo Tanzania Charles Abel amesema vilabu vya Bongo vilizidiwa uwezo na timu za Kenya kwenye mashindano ya SportPesa yaliyomalizika mwaka...

Golikipa bora SportPesa Cup amezaliwa Azam, hakuaminiwa

Golikipa Metacha Mnata wa Mbao FC ya Mwanza amechaguliwa kuwa golikipa bora wa mashindano ya SportPesa Cup 2019, baada ya kuonesha uwezo wa juu...

Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga

Mkali wa BongoFleva Nikki wa Pili kutoka kundi la #WEUSI ameponda utaratibu unaotumiwa na klabu ya Yanga kuchangisha mashabiki kwa style ya #BAKULI uwanjani...

Kocha AS Vita kataja udhaufu wa Simba

Baada ya mechi ya AS Vita vs Simba kumalizika, nilikutana na kocha msaidizi wa Vita Raoul Shungu ambaye si mgeni kwa watanzania kwa sababu...

Shaffih Dauda aeleza kilichoiua Simba Congo

AS Vita walianza taratibu wakiwa wanaisoma Simba, walitengeneza nafasi na kufanya mashambulizi kadhaa ya kushtukiza huku wakitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Simba. Eneo...

Utabiri wa Zahera Mwinyi kuelekea AS Vital vs Simba

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi anasema game ya kesho Jumamosi AS Vita vs Simba itakuwa ni 50/50. Zahera anasema soka la siku hizi hakuna timu...

“Hakuna mchezaji ANAYENINYIMA USINGIZI Yanga”-Zahera

Kwenye mchezo wa lii kuu Tanzania bara jana January 15, 2019 Yanga ilimkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye alikuwa kwao Congo DR, lakini kocha...

Wachezaji wenye RASTA wana vitu gani vya kipekee?

Kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kuna wachezaji wanne waliotengeneza nywele zao kwa mtindo wa #Rasta (Kamusoko, Tshishimbi, Jafary na Boban). . Marasta wengi wanaocheza mpira...

Chama amezungumzia goli lake lililoipeleka Simba makundi Afrika

Goli la dakika za jioni lililofungwa na Clatous Chota Chama dhidi ya Nkana ndio liliivusha Simba kwenda hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa...

Mashabiki wa Simba wamkomalia Shaffih Dauda kuhusu ‘UNDERDOG’

Kwa dhati kabisa naipongeza Simba kwa ushindi ushindi mnono wa mabao 3-0 ilioupata dhidi ya JS Saoura, wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani. Kila mchezaji alionesha...

Shaffih Dauda alivyogawa MARKS kwa wachezaji Simba

Kwenye mchezo wa jana Simba vs Saoura wachezaji wa Simba kila mmoja alicheza kwa kiwango cha juu, nimefanya analysis yangu kwa kila mchezaji na...

Soggy Doggy: Simba hii hata mechi 10 kwa wiki tunapiga

Mkongwe wa Bongo Fleva @soggydoggyanter anasema Simba hii hata ikipewa mechi 10 ndani ya wiki moja inatwanga tu! Soggy kaongea vitu kibao sana kuhusu Simba,...

Hivi uliona VIBE la Zitto Kabwe baada ya goli la Okwi?

Wakati wa half time kwenye mchezo wa  Simba vs Saoura shabiki mkubwa wa Simba Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitabiri Mnyama...

Chirwa anaitaka Yanga ‘Orijino’

#MapinduziCup2019 Obrey Chirwa baada ya kuifunga Yanga magoli mawili kwenye mchezo wa Kundi A la Mapinduzi Cup, amesema hawezi kushangilia sana kwa sababu amefunga...

“Fei Toto ni mchango wangu Yanga”-Mwigulu Nchemba

Katika story za hapa na pale na mdau wa Yanga lakini pia ni mlezi wa Singida United Dr. Mwigulu Nchemba nikamuuliza kama amewahi kuichangia...

Shaffih Dauda alichambua kundi la Simba CAF

Baada ya draw ya makundi ya vilabu bingwa kukamilika na Simba kuangukia Kundi D Shaffih Dauda anasema amefatilia timu ambazo Simba imepangwa nazo (Al...

Shaffih Dauda kuhusu kichapo cha Simba

Hivi unajua huku kitaa watu wengi bado wana maswali, Simba iliyowawashia mbungi wale  Nkana juzi kati imekuaje wamekuja kupoteana kwa Mashujaa? Huyu mdau anawakilisha kundi...

Mwl. Kashasha kawachana Simba

Mchambuzi wa soka Mwl. Alex Kashasha katika uchambuzi wake wa mchezo wa mechi ya Simba vs Mashujaa (Azam Sports Federation Cup) amesema dharau ya...

Mwl. Kashasha amkingia kifua Dida

Simba imeondolewa kwenye mashindano ya kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) baada ya kufungwa 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma. Mchambuzi wa soka nchini...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow