Monday, May 28, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Video-Ubingwa wa Simba biashara

Jamani kuna watu wanajua kucheza na fursa, ubingwa wa Simba VPL 2017/18 kuna watu wanafanya biashara wanaingiza 'mtonyo' na maisha yanaendelea kama kawaida. Jumamosi Mei...

Kapombe afafanua style ya kushangilia, Niyonzima kafunguka

Shomari Kapombe ndiye aliifungia Simba goli pekee lililoamua matokeo ya mchezo dhidi ya Singida United. Kapombe alishangilia kwa style iliyoashiria analea, baada ya mchezo alisema...

Yanga wapewa mwaliko na Manara “Yanga ni majirani zetu”

Pamoja na mambo mengine, ofisa habari wa Simba Haji Mana amesema wanaandaa utaratibu wa kufanya sherehe kubwa zaidi ya Simba Day kusherekea ubingwa wa...

Singida yanogesha ubingwa wa Simba

Simba imecheza mechi yake ya 28 bila kupoteza baada ya ushindi wake wa goli 1-0 dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua mkoani...

Video-Shabiki atumia zaidi ya Tsh. 200,000 kwa ajili ya Simba

Kuna mashabiki wa kweli ambao wapo tayari kufanya chochote kwa ajili ya timu zao, Dauda TV imekutana na shabiki wa Simba Anchelius Rwegasira Richard...

Kocha kafunguka wachezaji waliogoma kwenda Algeria

Wakati kikosi cha Yanga kinasafiri kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika dhidi ya USM...

Kocha wa Yanga aipa Simba ubingwa VPL

Baada tu ya kutua Dar wakitokea Algeria kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kocha mpya wa Yanga ameipa Simba ubingwa...

Video-Kocha Yanga ataja sababu ya kipigo Algeria

Yanga wamepoteza mechi yao ya kwanza katika hatua ya makundi kwa kufungwa 4-0 na USM Alger kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf...

Video-Manara kapewa onyo kali

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imempa onyo kali ofisa habari wa Simba Haji Manara kutokana na kitendo chake cha kuingia uwanjani na kushangilia...

Video-Mate yamponza Yondani

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imemsimamisha beki wa Yanga Kelvin Yondani kutokana na kumtemea mate Asante Kwasi katika mhezo wa VPL kati ya...

STORY KUBWA