Friday, June 22, 2018

Dauda TV

Home Dauda TV

Video-Mipango ya Yanga kuelekea mechi ya kimataifa

Leo Jumatatu machi 5, 2018 katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa kombe la vilabu...

VIDEO: DE BRUYNE AIPA MAN CITY USHINDI USHINDI WA NYUMBANI

Goli la Kevin de Bruyne dakika ya 91 limeipa Manchester City ushindi kwenye mchezo wa kundi D wa vilabu bingwa barani Ulaya dhidi ya...

Video: Mayanga kataja sababu za Stars kukosa ushindi vs Rwanda

Baada ya mechi ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Rwanda, kocha wa Stars Salum Mayanga amezungumza na waandishi wa habari na kuweka...

Maoni na utabiri wa Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa VPL 2017/2018

Wadhamini wa ligi kuu Tanzania bara kampuni ya Vodacom tayari imeshagawa vifaa kwa timu shiriki za ligi hiyo hii ikiwa na maana kwamba, msimu...

Video-Okwi awekewa ulinzi kutoa zawadi ya ubingwa

Kabla ya mechi dhidi ya Singida United Jumamosi Mei 12, 2018 wachezaji na benchi la ufundi la Simba walivaa T-shirts maalum za ubingwa wa...

Kiwango cha Henrikh Mkhitaryan kimezua mijadala mitandaoni

Mkhitaryan alifunga bonge la bao baada ya kuchukua mpira akiwa nusu ya uwanja (upande wa Man United) kisha kuwapangua wachezaji kadhaa wan a kufunga...

DAUDA TV: MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOPIGWA DECEMBER 8

Usiku wa December 8, 2015 ilipigwa michezo ya nane UEFA Champions League kwenye viwanja tofauti ambapo ilishuhudiwa baadhi ya timu zikifanikiwa kutinga katika hatua...

Video: Mayanja kuhusu goli la Okwi dakika ya 90 Simba vs Mtibwa Sugar

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema, goli la kusawazisha walilopata dhidi ya Mtibwa Sugar limetokana na uwezo binafsi wa Emanuel Okwi na hiyo...

STORY KUBWA