Dauda TV

Home Dauda TV

VIDEO: Chelsea imemuaga kwa heshima Branislav Ivanovic

Baada ya miaka tisa ndani ya Chelsea, ambapo alishinda mataji ya kutosha kutoka mashindano mbalimbali, Branislav Ivanovic ameshajiunga na klabu yake mpya ya Zenit...

VIDEO: Magoli na rekodi 6 zilizowekwa baada ya ushindi wa Chelsea dhidi ya Arsenal

Arsenal wamechezea kisago kingine kizuri cha magoli 3-1 kutoka kwa Chelsea kwenye game ya Premier League iliyopigwa kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Magoli ya Marcos Alonso, Eden...

VIDEO: Goli la Mavugo lililoipeleka Simba robo fainali FA Cup

TIMU ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kombe la FA baada ya kuifunga African Lyon kwa bao 1-0 kwenye...

Video: Kuelekea fainali ya FA Cup, jezi za Yanga zaiteka Dodoma

Kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup kati ya Simba na Mbao FC, kumetokea jambo ambalo linashangaza lakini ndivyo ilivyo...

Video: Baba wa Tshabalala alivyoipokea tuzo ya mwanae baada ya kutajwa mchezaji bora VPL

Usiku wa Mei 24, 2017 tuzo za VPL zilitolewa kwa wachezaji, timu na waamuzi waliofanya vizuri katika kipindi chote cha msimu wa 2016/2017 ambapo...

Dauda Tv: Simba imebakiza mechi moja VPL, bingwa bado hajulikani

Simba imeandika ushindi wake wa 20 leo Mei 12, 2017 baada ya kuifunga Stand United kwa magoli 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...

Video: Uchambuzi wa Shaffih Dauda kuelekea fainali ya FA Cup Simba vs Mbao

Saa chache kabla ya kupigwa game ya fainali ya Azam Sports Federation Cup (FA Cup) Dauda TV inakuletea uchambuzi kwa ufupi kuhusu mechi hiyo...

VIDEO: Fainali ya AFCON 2008 inajirudia 2017, ni Misri vs Cameroon

Cameroon itakutana na Misri kwenye mchezo wa fainali ya mataifa ya Afrika 2017 baada ya kuifunga Ghana kwa magoli 2-0 kwenye mechi ya nusu...

VIDEO: Burkina Faso imeitupa Ghana nafasi ya nne AFCON 2017

Free-kick ya dakika ya 89 iliyopigwa na Alain Traore ilimaliza ubishi wa Ghana na kuishuhudia Burkina Faso ikitangazwa kuwa mshindi wa tatu wa michuano ya...

VIDEO: Cameroon bingwa AFCON 2017

February 5 ndio siku ambayo mchezo wa fainali ya kombe la mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017 ulichezwa,  mchezo ambao ulikuwa ni maudio...

STORY KUBWA