Dauda TV

Home Dauda TV

Kocha mkongwe aishauri Simba kuhusu Vita

Kuelekea mchezo wa Simba kwenye hatua ya makundi ya CAF Champions League kati ya Simba dhidi ya AS Vita, kocha mwenye uzoefu na soka...

Ally Hapi asema Lipuli imefungwa kwa sababu ya hasira, Simba imevunja mwiko

Mkuu wa koa wa Iringa Ally Hapi ni shabiki kindakindaki wa Yanga Chama la Wananchi halafu leo kulikuwa na game Lipuli kutoka mkoa anaoungoza...

Nonga kaeleza sababu ya kumkoromea golikipa “Huwezi kumnong’oneza”

Kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu Tanzania bara Lipuli vs Simba lilionekana tukio ambalo huenda lilitafsiriwa tofauti na wadau wa soka baada ya...

Kocha wa Lipuli kafunguka ushindi wa Simba…kamtaja refa na wachezaji

Kocha msaidizi wa Lipuli FC Selemani Matola kabla ya game yao dhidi ya Simba alisema amechowa na matokeo ya sare ambayo timu yake imekuwa...

Daktari kathibitisha Okwi yuko FRESH

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kuumia na kulazimika kutolewa. Daktari wa Simba Yassin Gembe amesema Okwi alichanika chini ya...

Joh Makini amempa jina jipya Lukaku ‘Makaptura’

Joh Makini amempa jina jipya mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku, wakati Dauda TV inafanya mahojioano na mkali huyo toka kundi la WEUSI alisema...

Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

Nikki Wapili anasema kuna watu wa Chelsea huwa wanamzingua sana siku Manchester United ikipasuka. G Nako ni miongoni mwa watu ambao huifanya simu ya...

Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

Jamaa anaitwa Jimmy aliahdi kukaa uchi Kariakoo huku pia akiwa kaweka ahadi mkewake achukuliwe na shabiki wa Simba endapo Yanga itafungwa. Yanga imepasuka 1-0 mbele...

Mabaunsa Simba washikana mashati na waandishi

Zogo limeibuka kati ya waandishi wa habari na mabaunsa wa Simba. Wachezaji wa Simba walitumia mlango unaotumiwa na waandishi wa habari halafu wakawazuia waandishi...

Yanga wanakula hizo…

Kuelekea mechi ya #WataniWaJadi shabiki wa kihindi wa Simba anasema Yanga wanakula 4 leo. Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAYâ–¶kuangalia video mwanzo mwisho hapa...

Yanga waingia uwanjani kwa style ya aina yake

Kiosi cha Yanga kimewasili kwa style ya aina yake uwanja wa taifa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi. Yanga wametumia basi dogo...

#YangaVsSimba ni vita ya NIKKI WAPILI VS JOH MAKINI

Mechi ya watani wa jadi #YangaVsSimba huwa inaigawa familia ya wasanii wanaounda kundi la #Weusi Joh Makini na Nikki Wapili. Joh Makini amefata upande wa...

Stamina anakwambia Simba wanakula 5

Kumbe mkali wa BongoFleva Stamina ni Yanga wa kulialia lakini wakati anacheza soka aliwahi kucheza na Mkude na Kichuya ambao baadaye walijiunga na Simba. Stamina...

“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za...

Mwakyembe azindua nembo ya AFCON U17

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, leo Alhamis Februari 14,2019 amezindua nembo maalum ya fainali za Afrika kwa vijana chini...

Kocha wao anasema hajui tar 16 anakutana na nani, taarifa iwafikie…

Baada ya Simba kuitwanga Al Ahly 1-0 uwanja wa taifa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi, mashabiki wa Simba wametuma...

Noma! Gabo alivyopagawa ushindi wa Simba

Mkali wa Bongo Movie Gabo Zigamba kumbe ni shabiki wa mnyama bwana, kwenye game ya Simba vs Al Ahly alikuwepo uwaja wa taifa ku-support...

Tunda aitaka Yanga “Zile 5 tulizopigwa na mwarabu tunalipa kwao”

Shabiki kindakindaki wa Simba msanii wa Bongo Fleva TundaMan wakati akifurahia wa 1-0 ilioupata Simba dhidi ya Al Ahly kwenye ligi ya mabingwa Afrika...

Kocha wa zaamani Yanga akubali mziki wa Simba, apagawa na Mkude

Kocha wa zamani wa Yanga Kenny Mwaisabula 'Mzazi'baada ya Simba kuifunga Al Ahly uwanja wa taifa, ameshangaa ilikuwaje Simba ikafungwa 5-0 na waarabu hao...

“Mimi Yanga nitaishangilia Simba”-Mwigulu Nchemba

Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba anafahamika kwa ushabiki wake kwa mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara YOUNG AFRICANS. Licha ya ushabiki...
474,517FansLike
1,576,140FollowersFollow
80,910FollowersFollow