Brazuka Kitaani

Home Brazuka Kitaani

WABRAZIL WANAPENDA MPIRA KULIKO KITU CHOCHOTE

Kutoka Brazil: Jamaa akionekana katika tangazo la kombe la dunia nchini Brazil. Na hii ni katika mtaa wa Salvador Bahia, juni 10, 2014. Kombe...

PICHA: MISHEMISHE ZA MITAANI NCHINI BRAZIL KUELEKEZA KOMBE LA DUNIA

Jamaa akiuza bidhaa kwa ajili ya kombe la dunia katika mitaa ya Salvador Bahia, juni 10, 2014. Kombe la dunia litaanza kushika kasi nchini...

TP Mazembe yaendelea kumtesa Msuva

Timu anayocheza kijana wa kitanzania Simon Msuva imepoteza mechi yake ya kombe la vilabu bingwa Afrika baada ya kufungwa 2-0 na TP Mazembe ukiwa...

UZALENDO WA WABRAZIL NI KIBOKO YAO, KILA KONA BENDERA TU

KUTOKA kitaa: Shabiki wa soka akitembea katika mtaa wa Salvador Bahia, juni 1o, 2014  na kupita sehemu ilipochorwa bendera ya Brazil. (Xinhua/Jhon Paz)

KITU KUTOKA BRAZIL: JAMAA WAKIREKEBISHA MITAMBO KUELEKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA

  WANAUME wakifanya maandalizi ya uzinduzi wa kombe la dunia karibu na bichi ya salvador Bahia, juni 10, 2014. (Xinhua/Jhon Paz)
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow