Wednesday, September 19, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

KURUNZI YA SIMBA SC YAENDELEA KUNASA VIFAA KUSAKA MOTO WA LIGI KUU BARA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi wamefanikiwa kumsajili beki wa kushoto wa Coastal Union Abdi Banda baada ya kumuweka kwenye rada zake...

Exclusive: Okwi atua  Msimbazi kuziba pengo la Ajib

Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi...

DONEDEAL: Golikipa wa Ghana amemalizana na Simba

Golikipa Daliel Agyei aliyetoka klabu ya Medeama ya Ghana amesaini makataba wa miaka miwili (2) kuitumika klabu ya Simba SC. Novemba 30 golikipa huyo aliwasili...

TETESI: SIMBA INAKARIBIA KUINASA SAINI YA PAUL KIONGERA KUTOKA KENYA

Simba inapambana kumsaini kiungo wa timu ya Taifa ya vijana ya Kenya, Paul Kiongera anayekipiga katika klabu ya KCB. Kiongera ni kiungo mchezesha timu...

Nyosso is back, Kagera Sugar imesaini 6 kwa mpigo

Juma Nyosso mzee wa kazi anarejea ligi kuu Tanzania bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Kagera Sugar ya mjini...

RASMI: ANDREY COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali...

DoneDeal: Kutinyu kaungana na Ngoma Azam

Kiungo wa Singida United Tafadzwa Kutinyu anaungana na kocha Hans van Pluijm kuelekea Azam FC kwa ajili ya msimu ujao. Meneja wa Azam FC Philip...

EXCLUSIVE: SIMBA WALISHINDWA KUFIKIA DAU, YANGA WAKAMALIZA MCHEZO-KAKOLANYA

Siku chache baada ya kusajiliwa na mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga, golikipa Beno Kakolanya amepiga story na shaffihdauda.com kuhusu mambo...

DEAL DONE: Kaseja asaini mkataba Kagera Sugar

Golikipa wa zamani wa Simba, Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amesaini mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Kagera Sugar ya mjini...

MESI WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

Winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim...

STORY KUBWA