Monday, September 24, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

EXCLUSIVE: SIMBA IMETANGAZA KIKOSI CHA MSIMU WA 2016-17, MAVUGO, AME ALI NDANI

Simba imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao (2016-17) ambao kwa asilimia kubwa imeufanya kimyakimya hususan ule wa wachezaji wa nje ya...

Exclusive: Mkataba unaothibitisha Manula ametua Msimbazi

Ilikuwa ni tetesi lakini sasa ni 'DoneDeal' baada ya klabu ya Simba kumsaini golikipa huyo kutoka klabu ya Azam FC. Manula amesaini mkataba wa miaka...

‘Namsikiaga Ajibu, sijawahi kumuona uwanjani’ – King Kiba

Mkali wa Bongofleva Ali Kiba 'King Kiba' amesema hamfahamu sana mshambuliaji mpya wa Yanga Ibrahim Ajib. King Kiba amesema kwenye mechi za Simba na Yanga...

Picha la usajili Fei Toto, Singida, Yanga

Ukizungumzia usajili wa Bongo kwa sasa Feisal Salum 'Fei Toto' ndo ana kiki mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Kwa nini? Kwa sababu ametambulishwa...

Yanga baada ya Ngoma kumalizana na Azam “tulimvumilia sana”

Baada ya Azam FC kutangaza imeingia makubaliano kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Yanga Donald Ngoma, uongozi wa Yanga umesema umeumizwa na...

Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

Dauda TV imekutana na ma-star wa Bongofleva lakini pia ni washkaji sana Ali Kiba na Ommy Dimpoz, mbali na muziki hawa jamaa ni mashabiki...

Jonas Mkude, Simba, wamalizana

Kiungo na nahodha wa Simba Jonas Mkude ameongeza mkataba wa miaka miwili (2) kuendelea kubaki Msimbazi baada ya awali kuwa na mvutano mkubwa kati...

Kikosi cha Mbao kinabomoka, viongozi wanajuta

Na Zainabu Rajabu UONGOZI wa klabu ya Mbao umelazimika kuanza upya kukisuka kikosi chao mara baada ya nyota wake muhimu wote wa kikosi cha kwanza...

Kocha mpya wa Simba kiboko! ‘watapata tabu sana’

Na Priva Abiud (Privaldinho) Wakati wa michuano ya Sportpesa kulizuka sintofahamu kuhusu mkuu wa dawati la ufundi la Simba. Ilisemekana kuwa Piere ametupiwa virago vyake....

Jerry Muro akosoa usajili “Mnawasajili wachezaji dhaifu hawaendani na hadhi ya ukubwa wa Yanga”

Baada ya uongozi wa Yanga kumtambulisha kiungo Mohamed Issa 'Banka' kuwa imemsajili kwa mkataba wa miaka miwili, aliyekuwa ofisa habari wa klabu hiyo Jerry...

STORY KUBWA