Friday, September 21, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

Azam wataweza kuishi wanachokiamini?

Azam FC imeanza kuboresha kikosi chake baada ya leo Juni 5, 2017 kuingia mkataba na mshambuliaji Waziri Junior kutoka Toto Africans ambayo imeshuka daraja,...

Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

Dauda TV imekutana na ma-star wa Bongofleva lakini pia ni washkaji sana Ali Kiba na Ommy Dimpoz, mbali na muziki hawa jamaa ni mashabiki...

Video: Sababu za Waziri Junior kuwaingiza mjini Yanga na kuibukia Azam

Dauda TV imempata mshambuliaji mpya wa Azam FC Waziri Junior katika Exclusive interview ambapo na mchezaji huyo amezungumzia mambo mengi ikiwemo juu ya usajili...

AZAM YAKABIDHI TIMU KWA WAHISPANIA

Klabu ya Azam FC imewapa mkataba wa miaka miwili makocha wao wawili Zeben Hernandez na Jonas Garcia kutoka Hispania kwa ajili ya kukinoa kikosi...

JERRYSON TEGETE AKATA ‘MZIZI WA FITINA’ ASAINI NA KUYASEMA HAYA…

Na Baraka Mbolembole Siku chache baada ya kumpoteza nahodha na kiungo wa Mwadui FC Jabir Aziz Stima, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuti Kihwelon ‘Julio’amefanikiwa...

Jicho la 3: NINI, HASSAN KESSY, ZIMBWE JR ATACHEZA YANGA SC MSIMU UJAO, VINGINEVYO...

Na Baraka Mbolembole MBONA mnamsumbua huyu kijana Hassan Kessy wakati ni mchezaji halali wa Yanga SC? KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la...

Exclusive: Mkataba unaothibitisha Manula ametua Msimbazi

Ilikuwa ni tetesi lakini sasa ni 'DoneDeal' baada ya klabu ya Simba kumsaini golikipa huyo kutoka klabu ya Azam FC. Manula amesaini mkataba wa miaka...

BREAKING NEWS! KIIZA OUT YANGA!!!

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ambazo mtandao wa www.shaffihdauda.com umezipa hivi punde, klabu ya Yanga ipo mbioni kukatisha mkataba na mshambuliaji Hamis Kiiza raia...

TANZANIA PRISONS YAMSAINI SAMATTA NA WENGINE WAWILI

Na Baraka Mbolembole KOCHA wa Tanzania Prisons, Salum Mayanga amemsaini golikipa Andrew Ntala kuwa mrithi wa Beno Kakolanya aliyetimkia Yanga SC baada ya kuwa na...

Geoff Lea baada ya kusikia Ngasa amerudi Yanga “ningekuwa shabiki wa Yanga nisingefurahi”

Baada ya Yanga kuthibisha kumalizana na Ngasa mchambuzi wa michezo Geoff Lea kupitia Sports Xtra amesema kama angekuwa shabiki wa Yanga asingewaelewa kabisa viongozi...

STORY KUBWA