Tuesday, September 25, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

PRISONS YAMPIGA PINI MKOPI KUTUA MBEYA CITY

Timu ya maafande wa Jeshi la Mgereza Tanzania Prisons ya Mbeya imesema haitambui usajili wa mshambuliaji wake Mohamed Mkopi kwenda timu ya Mbeya City...

AZAM YAKABIDHI TIMU KWA WAHISPANIA

Klabu ya Azam FC imewapa mkataba wa miaka miwili makocha wao wawili Zeben Hernandez na Jonas Garcia kutoka Hispania kwa ajili ya kukinoa kikosi...

Breaking news! TIMU HIZI ZINAPIGANA VIKUMBO KUWANIA SAINI YA KASEJA…….….

Masaa machache baada ya TFF kumuachia huru golikipa Juma Kaseja hatimae vilabu kadhaa vimeibuka na kutaka kumsajili masaa machache kabla ya dirisha la usajili...

KITU AMBACHO MAXIME ATAHAMANACHO KUTOKA MTIBWA KWENDA KAGERA SUGAR

Kocha wa zamani wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime anasema anaimani atafanya vizuri kwenye klabu ya Kagera Sugar licha ya ugumu ambao anatarajia kuwepo kwenye...

STORY KUBWA