Wednesday, September 19, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

RASMI: SIMBA SC YAMSAINISHA MIAKA MITATU ABDI BANDA KUTOKA COASTL UNION

Aliyekuwa beki wa zamani wa Coastal Union, Abdi Banda (kushoto) amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Simba sc WEKUNDU wa Msimbazi wamefanikiwa kumsajili beki wa...

KURUNZI YA SIMBA SC YAENDELEA KUNASA VIFAA KUSAKA MOTO WA LIGI KUU BARA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi wamefanikiwa kumsajili beki wa kushoto wa Coastal Union Abdi Banda baada ya kumuweka kwenye rada zake...

SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI ELIAS MAGURI NA SHABAN KISIGA ‘MALONE’

  Na Baraka Mpenja, Dar es salaam SIMBA SC imewatambulisha wachezaji wawili iliyowasijili majira haya ya kiangazi kwa mujibu wa mahitaji ya kocha mkuu, Mcroatia Zdravko...

STRAIKA MBEYA CITY ASAJILIWA KIBABE SIMBA SC

SAKATA la usajili wa mshambuliaji wa Mbeya City, Saady Kipanga, kwenda Simba, limechukua sura mpya baada ya viongozi wa klabu hiyo kushindwa kuelewana kwa...

SIMBA SC YAMNASA ELIAS MAGURI KUTOKA RUVU SHOOTING

Elias Maguri (wa kwanza kushoto) anatarajia kumalizana na Simba baada ya kila kitu kwenda Sawa. Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KLABU ya Simba sc imemalizana...

SELEMANI ABDALLAH MBAROUK AKARIBISHWA YANGA SC

Mbarouk mwenye asili ya Zanzibar, ameiambia Goal ameichezea kwa kipindi cha misimu tisa timu hiyo ya Coventry City KOCHA wa Yanga Marcio Maximo jana  amemkaribisha...

MAGUMASHI: KABURU AZURULA NA SAADY KIPANGA WA MBEYA CITY KWENYE GARI YAKE AKISHINIKIZA ASAJILIWE..YAJIRUDIA...

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange `Kaburu` MAGUMASHI yameendelea kutawala katika usajili wa soka la Bongo ambapo viongozi wanazidi kujifanyia mambo kwa mahaba yao. Taarifa...

RASMI: SIMBA YABARIKI MOMBEKI KUJIUNGA NA JKT RUVU

SIMBA SC imemruhusu mshambuliaji wake, Betram Mombeki kujiunga na maafande wa JKT Ruvu ya mkoani Pwani. Siku za karibuni, Mombeki aliichezea timu hiyo ya Fred...

TETESI: SIMBA INAKARIBIA KUINASA SAINI YA PAUL KIONGERA KUTOKA KENYA

Simba inapambana kumsaini kiungo wa timu ya Taifa ya vijana ya Kenya, Paul Kiongera anayekipiga katika klabu ya KCB. Kiongera ni kiungo mchezesha timu...

RASMI: CASILLAS ATUA SIMBA NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI

MLINDA Mlango namba moja wa Mtibwa Sugar, Hussein Sharrif , 'Casillas' amekamilisha usajili wa kujiunga na Wekundu wa Msimbazi Simba. Casillas ambaye alikuwa kipa bora...

STORY KUBWA