Friday, September 21, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC

Stori kubwa leo hii  ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano 'Messi' kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa...

OFFICIAL: RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ ASAINI AZAM FC

Siku moja baada ya Shirikisho la soka Tanzania, TFF kutangaza kuvunja rasmi mkataba wa Ramadhan Singano 'Messi' na klabu yake ya Simba, winga huyo...

Mexime aruhusu Mbonde kujiunga Yanga

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam 'Mbonde amekuwa akicheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu kiasi cha kuwatoa udenda Simba na Yanga.' MECKY Mexime, kocha...

NIYONZIMA AMEMALIZA MAZUNGUMZO NA YANGA…KUSAINI MKATABA WA MIAKA 2

Ukiwa ni wakati maalum kwa ajili ya wachezaji kuhama kwenda timu moja hadi nyingine na wengine kuboresha mikataba yao. Harouna Niyonzima amekubaliana kimsingi na Yanga...

BREAKING NEWS! KIIZA OUT YANGA!!!

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ambazo mtandao wa www.shaffihdauda.com umezipa hivi punde, klabu ya Yanga ipo mbioni kukatisha mkataba na mshambuliaji Hamis Kiiza raia...

HUMUD AJIUNGA NA COASTAL UNION……

Bertha Lumala, Dar es Salaam KIUNGO wa zamani wa Simba na Sofapaka ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL), Humud Mohammed Abdulhalim amejiunga na Coastal Union...

HARUNA CHANONGO NA HAMIS THABITI WATUA STAND UTD….

Winga Haruna Chanongo wa Simba na Hamis Thabiti wa Yanga wamejiunga rasmi na Stand Utd ya Shinyanga kwa mujibu wa mkurugenzi wa ufundi wa...

RASMI: HARUNA SHAMTE, JABIR AZIZ, JACKSON CHOVE WASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA MMOJA JKT...

Haruna Ramadhan Shamte Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa JKT Ruvu wamekamilisha usajili wa wachezaji watatu kati ya wengi waliokuwa wanafanya majaribio chini ya...

BREAKING NEWS: PATRICK PHIRI KOCHA MPYA SIMBA SC

Klabu ya Simba inataraji kumtangaza Mzambia Patrick Phiri KUWA KOCHA MPYA WA KLABU HIYO na kuchukua mahala palipoachwa na Logalusic, Akizungumza na mtandao huu muda...

ABDI BANDA USAJILI MWINGINE MZURI SIMBA SC…

 Na Baraka Mbolembole,  Dar es Salaam,   Klabu bingwa mara 19 wa zamani wa Tanzania Bara, Simba SC wamekamilisha taratibu za kumsaini kiungo-mlinzi wa timu...

STORY KUBWA