Wednesday, September 19, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

Dauda TV imekutana na ma-star wa Bongofleva lakini pia ni washkaji sana Ali Kiba na Ommy Dimpoz, mbali na muziki hawa jamaa ni mashabiki...

RASMI: SIMBA YABARIKI MOMBEKI KUJIUNGA NA JKT RUVU

SIMBA SC imemruhusu mshambuliaji wake, Betram Mombeki kujiunga na maafande wa JKT Ruvu ya mkoani Pwani. Siku za karibuni, Mombeki aliichezea timu hiyo ya Fred...

“Usajili wa mchezaji sio kama bidhaa sokoni”-Shaffih Dauda kuhusu Fei Toto

Usajili wa Fei Toto bado unaendelea kuchukua headlines kutokana na kutambulishwa na vilabu viwili tofauti (Singida United na Yanga). Mambo kama haya yanatokea kwenye soka...

Amri Kiemba aipa ubingwa wa ligi kuu Tanzania timu hii

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikitarajia kuanza Jumatano hii baada ya pazia lake kufunguliwa rasmi siku ya Jumamosi iliyopita kwa mchezo wa Ngao ya...

Exclusive: Okwi atua  Msimbazi kuziba pengo la Ajib

Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi...

STRAIKA MBEYA CITY ASAJILIWA KIBABE SIMBA SC

SAKATA la usajili wa mshambuliaji wa Mbeya City, Saady Kipanga, kwenda Simba, limechukua sura mpya baada ya viongozi wa klabu hiyo kushindwa kuelewana kwa...

HANS KATIKA SAJILI 3 ZA KISHABIKI, DANTE WA NINI YANGA SC?

Na Baraka Mbolembole Mlinzi wa kulia Hassan Kessy, kiungo wa mashambulizi Juma Mahadhi na sasa mlinzi wa kati Vicent Andrew wamesaini kujiunga na mabingwa mara...

AZAM YAMDONDOSHA STRIKER WA IVORY COAST

Kwa mujibu wa mtandao wa azamfc.co.tz, mshambuliaji Ibrahima Fofana kutoka nchini Ivory Coast ametua nchini leo Jumanne mchana tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga...

JICHO LA 3: USAJILI WA BENO KAKOLANYA YANGA WAMEPATIA, VIPI KUHUSU MCHEZAJI MWENYEWE?

Na Baraka Mbolembole Kumsaini mlinda mlango, Beno Kakolanya kutoka Tanzania Prisons si mbaya kwa timu ya Yanga SC lakini kwa mchezaji mwenyewe ni sawa na...

Video: Sababu za Waziri Junior kuwaingiza mjini Yanga na kuibukia Azam

Dauda TV imempata mshambuliaji mpya wa Azam FC Waziri Junior katika Exclusive interview ambapo na mchezaji huyo amezungumzia mambo mengi ikiwemo juu ya usajili...

STORY KUBWA