Tuesday, March 20, 2018

Usajili Kitaifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa
Usajili wa kitaifa

Baada ya tetesi Chirwa anakwenda Simba, Yanga yajibu mapigo

Tayari tetesi zimeanza kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kwamba, mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa huenda akajiunga na...

Video-Kocha mpya wa Simba amezungumza kwa mara ya kwanza

Leo Ijumaa Januari 19, 2018 uongozi wa klabu ya Simba chini ya Rais 'Try again' umemtambulisha rasmi kocha wao mpya Pierre Lechantre raia wa Ufansa...

Dau lililompeleka Kwasi Simba limetajwa

Ile hadithi ya usajili wa beki wa kimataifa wa kutoka Ghana anaecheza Lipuli ambaye siku za hivi karibuni ametajwa sana hususan wakati anahusishwa kujiunga...

Wanaotoka na kuingia Simba watajwa

Tumesikia mengi katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili kwamba klabu ya Simba imepanga kupiga panga baadhi ya wachezaji na kusajili wengine wapya. Wanaotajwa...

Singida United yabeba wanne Serengeti Boys

Wakati zikiwa zimesalia saa kadhaa ili kufungwa kwa dirisha dogo la usajili Tanzania, klabu ya Singida United imeshakamilisha usajili wa wachezaji sita waliojiunga na...

Kibabage ajipiga kitanzi Mtibwa Sugar

Klabu ya Mtibwa Sugar imeongeza mkataba na nyota wake Nickson Clement Kibabage wa kuendelea kuitumikia timu hio. Mkataba wa mlinzi huyo wa pembeni ulikuwa ukielekea...

Yanga wamethibitisha Gadiel Michael amesaini mkataba, Azam wamewapa sharti gani?

Siku za hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari baada ya beki wa kushoto wa klabu...

Yanga imempiga chini ‘Mkata ueme’

Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa amethibitisha kwamba, wameamua kuachana na kiungo wa ulinzi mzambia Justine Zulu ‘mkata umeme’ aliyesajiliwa msimu uliopita wakati wa...

Video: Manara amezungumza mambo matatu pamoja na Niyonzima kuhamia Simba

Agost 1, 2017 klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji Mnara,  imethibitisha kuwa Haruna Niyonzima ni mchezaji rasmi wa klabu hiyo ikiwa...

Rasmi: Imethibitishwa Haruna Niyonzima ni mchezaji halali wa Simba

Afisa Habari wa klabu ya Simba amethibitisha kwamba Haruna Niyonzima ni mchezaji halali wa klabu hiyo mara baada ya kumaliza mkataba na klabu yake...

STORY KUBWA