Usajili Kimataifa

Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa Page 4
Usajili wa Kimataifa

Hiki ndio Kisa cha Madrid kuwapeleka mahakamani Benfica 

Real Madrid wameripotiwa kuwapeleka mahakamani klabu ya Benfica juu ya mauzo ya mchezaji wa kiargentina Ezequiel Garay kwenda Zenit Saint Petersburg. Madrid, ambao walimuuuza Garay...

FLAMINI APATA SHAVU LINGINE EPL BAADA YA KUACHWA ARSENAL

Crystal Palace wamethibisha kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa Arsenal Mathieu Flamini kwa uhamisho huru. Flamini (32), amekuwa mchezaji huru tangu alipoachwa na Arsenal katika...

Baada ya miaka 10, Real Madrid waweka rekodi ya matumizi madogo kwenye usajili

Ukimya wa Real Madrid katika soko la usajili umewafanya mabingwa hao wa ulaya kuweka rekodi ya kutumia Fedha kidogo zaidi kwenye usajili katika kipindi...

WARAKA WA HART WENYE HUZUNI KUBWA KWENDA KWA MASHABIKI WA MAN CITY

Joe Hart ametoa shukrani zake za dhati kwa washabiki wa Manchester City kwa sapoti yao kubwa waliyomwonesha katika kipindi cha wiki hizi chache ambazo...

KAKA YAKE POGBA ASAJILIWA UHOLANZI

Mathias Pogba, pacha wa Patrick na kaka wa Paul Pogba amesajiliwa na klabu ya Sparta Rotterdam ya Uholanzi kwa mkataba wa mwaka mmoja, huku...

WILSHERE AMALIZANA NA BOURNEMOUTH

AFC Bournemouth wamekubali kumsajili kiungo wa Arsenal Jack Wilshere kwa mkopo wa msimu mzima. "Jack ni mchezaji wa aina yake ambaye naamini atatoa mchango mkubwa...

OFFICIAL- DAVID LUIZ ARUDISHA MAJESHI CHELSEA

Chelsea wamekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Brazil David Luiz kutoka Paris Saint-Germain kwa ada ya paundi mil 38 (euro mil 45). Luiz (29)...

CHELSEA WANASA KITASA CHA FIORENTINA

Chelsea wamethibitisha kumsajili beki Marcos Alonso kutoka Fiorentina ya Italy kwa ada ya paundi mil 23. Alonso hatakuwa mgeni kwenye Ligi ya England baada ya...

OFFICIAL- NASRI ATIMKIA SEVILLA

Manchester City wamethibitisha kiungo mshambuliaji wao Samir Nasri kujiunga na Sevilla kwa mkopo wa msimu mzima. Awali iliripotiwa kwamba, Nasri angejiunga na miamba ya Uturuki...

OFFICIAL- STOKE CITY WAKAMILISHA USAJILI WA BONY

Stoke City wamethibitisha kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Manchester City Wilfried Bony. Nyota huyo wa Ivory Coast atatumia msimu mzima kukipiga kwa Makuli hao huku...

JOE HART KILA KITU TAYARI TORINO, BADO KUTANGAZWA TU

Klabu ya Torino inayoshiriki Ligi Kuu nchini Italy 'Serie A' muda wowote kuanzia sasa inaweza kutangaza kumsajili kwa mkopo kipa namba moja wa England...

WATFORD WAMNYAKA KINDA WA CHELSEA

Winga wa Chelsea Kenedy amekamilisha uhamisho wa mkopo kwenda klabu ya Watford. Mbrazil huyo alijiunga na Chelsea msimu uliopita na kufanikiwa kucheza michezo michache. Alifanikiwa kucheza...

OFFICIAL- ARSENAL WAMEMSAJILI PEREZ KUTOKA DEPORTIVO LA CORUNA

Arsenal wamekamilisha usajili wa mshambulizi wao mpya Lucas Perez kutoka klabu ya Deportivo La Coruna. Meneja wa Arsenal Arsene Wenger Jumamosi alithibitisha kwamba Perez (27)...

BARCELONA WAMEKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI MWINGINE

Barcelona imethibitisha kumsaini Paco Alcecar kutoka Valencia kwa mkataba wa miaka mitano, nyota huyo kwenye miaka 23 amehamia Nou Camp kwa ada ya uhamisho...

ANAWEZA KUWA HAZARD MPYA? SOUTHAMPTON YAMTWAA SOUFIANE BOUFAL

Inawezekana kabisa kukawa na wachezaji wengi vijana am ao wamekuwa wakifaanishwa na wachezaji wengi wakubwa lakini mara nyingi ikiwa ni wachezaji wawili wanaotikisa dunia...

ZAZA ATUA WESTHAM UNITED

Mchezaji raia wa Italia na klabu ya Juventus, Simone Zaza amesajiliwa na klabu ya Westham kwa mkopo wa muda mrefu. Mshambuliaji huyu anakuwa mchezaji...

HENRY AULA KWAO NA LUKAKU, HAZARD.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal ambaye pia alikuwa akifanya kazi kama mchambuzi wa masuala ya soka kwenye kituo cha televisheni cha Skysports...

MAMBO MATATU YALIYOSABABISHA BRAVO KUHAMA FC BARCELONA

Na Athumani Adam Claudio Bravo amekuwa mchezaji wa nane kusajiliwa na kocha Pep Guardiola ndani ya klabu ya Manchester City. Uhamisho wa golikipa huyo raia...

NDOA YA PEP NA CLAUDIO BRAVO NI SAHIHI NA TAKATIFU ILIYOTAKIWA KUTOKEA

"Sikuwahi kufahamu lolote la maana kuhusu soka kabla sijakutana na Johan Cruyff," Guardiola aliwahi kukaririwa. Guardiola alikuwa kiungo katika moja ya timu bora za...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow